camerlengo
JF-Expert Member
- Jun 28, 2025
- 1,034
- 1,002
Uliposema '.chengine " nikajua ndo walewale walimda ugali nikacjagua kukupuuzaHata mimi siamini kama yule ni mwanajeshi kweli.
Mwanajeshi gani hata kujieleza ni tatizo?
Chengine, "anayetaka kunya hatangazi" unashtukia kanya tu.
Jaribu kumulika kwa kutumia kimwekumweku chako uone kama mi ni Mwanajeshi au lah.Hata mimi siamini kama yule ni mwanajeshi kweli.
Mwanajeshi gani hata kujieleza ni tatizo?
Chengine, "anayetaka kunya hatangazi" unashtukia kanya tu.
Mimi binafsi kama kiranja wa jamii, naungana na kauli za Brittanica na Ndugu Yoga, kwamba DECEMBER SIO MBALI. Haya mengine ni vikorombwezo tu vya kuiandaa Desemba to remember. Kama nyie mnawaona hawa watu sio watu, sawa ni msimamo wenu!Wanaukumbi.
([emoji3578] na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..
Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.
Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu
Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.
Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?
Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?
Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi [emoji38]
Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..
Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..
Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.
Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..
WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Mbona amejitambulisha kuwa Kaimu Msemaji wa JeshiMwanzo mkasema AI
Mkaja mkasema kajivalisha mavazi ni fake
Mkaja mkasema alifukuzwa jeshini
Mkaja na barua yenu isiyokanusha wala kukubali
NB:Inakuaje mpambe wa magufuli ndo atumike kusafisha hili ina maana mzee alikua na wasaliti bila yeye kujua na pengine huyu mpambe anajua mambo fulani fulani au anatumiwa.
We ni takataka kabisaMimi binafsi kama kiranja wa jamii, naungana na kauli za Brittanica na Ndugu Yoga, kwamba DECEMBER SIO MBALI. Haya mengine ni vikorombwezo tu vya kuiandaa Desemba to remember. Kama nyie mnawaona hawa watu sio watu, sawa ni msimamo wenu!
Yaani Mzee Warioba na Mzee Butika wameshakuwa wanaharakati siku hizi eeh! Watoto wa CCM hamna adabu kabisa nyie
Luteni Christopher Mwamba Luchembe
Tulikuwa katika kambi yetu kilometa 500 kutoka mji mkuu wa taifa la Zambia, jiji la Lusaka.Former Zambian army officer Mwamba Luchembe reflects on the day he tried to overthrow Kenneth Kaunda in a military coup. (This interview was recorded while PF were in power and Kenneth Kaunda was still alive.)
Inabidi unyooshe maelezo sio kubwatuka tu utashangazwa na kubakia mdomo wazi kila siku inapoitwa leoYou're very simple.
Nimeiona, na nina uhakia haiwakilishi watu millioni 60+.
Sio rahisi hivyo.
It's not cherry picking for I specifically asked for your point of view. Your decision will decide.
This is the sole reason I prefer to use Kiswahili these days. Factors are everywhere, you simply need a powerful deductive mind to discover them.
Hahaha na bado mtaona moto labda mkimbie nchiWanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..
Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.
Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu
Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.
Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?
Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?
Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆
Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..
Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..
Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.
Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..
WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Muda utaamua maana kuna video za kitambo zinazagaa Mtandao wa X kuna wanajeshi wanajitambulisha wao ni CCM.Mbona amejitambulisha kuwa Kaimu Msemaji wa Jeshi
Mbona unatumia nguvu namna hii kijana? Tulia zama za Ujinga kwa waTZ zimeishaisha.Wanaukumbi.

HuYlyo Ritz, fuatilia maandiko yake, utagundua wazi kabisa kuwa huyu ni chawa kama machawa mengine. Na sifa kubwa ya chawa ni kukosa akili ya tafakuri. Hakuna chawa mwenye akili ya kuweza kufanya analysis.Mbona unatumia nguvu namna hii kijana? Tulia zama za Ujinga kwa waTZ zimeishaisha.
Clip Iwe ya kweli ama fiki elewa ngoma inachezwa 29th October utake usitake.
Utaelewa tu taratibu mbuzi wewe🚮🚮🚮Wanaukumbi.
(✍️ na mchambuzi wetu)
TESHA NI KANJANJA TU HAKUNAGA MWANAJESHI WA HIVI JWTZ
Nimemsikiliza huyu mtu aliyejivalisha nguo za JWTZ na anajiita Kepteni Tesha nimebaki najiuliza maswali mengi sana kama hii ndiyo aina ya wanajeshi wetu basi tuna wanajeshi vilaza sana kwenye JWTZ..
Sijamuelewa anaongelea nini na sijamuelewa anataka nini na alitaka kuongea nini kama ni mwanajeshi kweli!.. Kwa kifupi alikuwa anajiumauma tu na kutajataja watu sijui Polepole , Warioba , Jaji nani sijui!.
Mchaga Tesha kanifurahisha na kunichekesha sana kusema eti kaandika barua kwa CDF kuwa jeshi lichukue nchi? Yaani Tesha kwa akili hizi halafu eti anasomea upilot jeshini basi kama ni kweli yuko JWTZ naanza kuelewa kwa nini tunapasuka kila siku tunapokwenda kwenye mission za kulinda amani hata hapo Kongo tu ambako muuza sabuni za mapapai anafuata risasi na bunduki kwa ajili ya kufanya mauaji ya watu
Mchaga Tesha anaongelea sijui Jaji Warioba,sijui Polepole mara Jaji Makaramba!.. Yaani kwa kifupi Tesha anaongelea wanaharakati kuwa ndiyo watu wa maana sana kwenye hii nchi kwa mtazamo wake!.
Tesha pamoja na kuwa anasoma alichokuwa anaongea bado kashindwa kueleweka alikuwa anazungumzia matatizo gani ta watanzania! Yaani Tesha anataka kusema watu wakiogomea uchaguzi kwa sababu zao wenyewe ,watu waliogomea kutoa maoni yao kwenye mabadiliko ya sheria za uchaguzi ni watu wa maana sana na wanawakilishz watanzania?
Tesha anaongelea kuwa eti JWTZ ndiyo tunaini pekee la watanzania kwa sasa. Ni lini Tesha aliambiwa na watanzania kuwa jeshi limekuwa tegemeo lao kwenye mambo yao?
Halafu ujinga wa Tesha ni wa kiwango cha bumunda gumu sana yaaani. Tesha anaonekana bado ana akili za kitoto sana kuamini kuwa eti jeshi lisimamishe uchaguzi 😆
Tesha hawezi kuwa mwanajeshi wa JWTZ na kuvaa kwake magwanda ya JWTZ siyo kigezo cha kuwa mwanajeshi!..
Wanaharakati wakiongozwa na Maria Sarungi wanahaha sana kuaminisha watu kuwa wakiandamana hiyo tarehe 29.10.2025 kuna wanajeshi watawaunga mkono!.. walianza na propaganda za JWTZ wamemchoka CDF hawamtaki wakaja na mwanajeshi sijui kashika bunduki na uniform analalamika sijui blah blah gani!..
Tesha ni mpango wa wanaharakati na propaganda kama zilivyo propaganda nyingine kuwavuta mkachezee virubgu hiyo tarehe 29.10.2025.
Hivi kuna sehemu duniani jeshi linataka kupindua serikali linaongea? Yaani kepteni wa jeshi si ana uwezo wa kupindua serikali sasa kwenye mavideo anatafuta nini? Yaaani eti anaonba CDF jeshi lipindue serikali? Tesha anatakiwa kurudishwa studio upya kwenda kutengeneza hii cript upya maana ni kama imekosewa!..
WITO ni ule ule kuwa tarehe 29.10.2025 msijichanganye kuandamana hamtakaa muamini kitu mtakutana nacho!.. Hakuna mtu wa kuzuia uchaguzi na hakuna mtu wa kuandamana achilia mbali hao walevi wanaosema watakula wali na tausi wa Ikulu!..
Utaelewa muda ukifika.Inabidi unyooshe maelezo sio kubwatuka tu utashangazwa na kubakia mdomo wazi kila siku inapoitwa leo
Ridhiwani KikweteWanaukumbi.

Ninaweza kukuambia kitu ndugu,lkn hapa sio mahala pake.Sasa kuishi kama ndezi kama Polepole bila strategy ndiyo unaona ujanja?