Tetemeke la ardhi limetokea Bukoba leo alfajiri

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Habari ya uhakika ni kuwa tetemeko la ardhi laikumba bukoba majira ya alfajiri ambapo wakazi waliamua kukumbia nje ya nyumba zao bila nguo kunusuru maisha yao hata hivyo hakuna madhara yeyote yaliyoripotiwa hadi sasa
Geologist tunamba ufafanuzi wa hili swala iweje tetemeko la ardhi mshindwe kuliona na vipi kama lingeleta madhara makubwa kwa wananchi
 

TMA haihusiki na geological activities, kuna mamlaka inaitwa GST ndio nyanga zao hizo...

By the way 5.0 magnitude ni tetemeko linaloweza bomoa nyumba kwa ujenzi wa Kitanzania, una uhakika halijaleta madhara yoyote au epicentre yake ipo misituni?
 
Picha ya hao wakazi waliokimbia bila nguo iko wapi ili tuamini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ