KERATO MOMBAA
JF-Expert Member
- Feb 4, 2025
- 4,602
- 6,274
Hii nayo ni akili na ipo jeiefu na inadunda?TMA wapo busy na elinino
Tma na tetemeko wapi na wapi?
Halafu aliyetoa taarifa za el nino ni tma? Duuu?
Hii nayo ni akili na ipo jeiefu na inadunda?TMA wapo busy na elinino
Jamani ku detect tetemeko ni kazi ya GST na si TMA..DUUNdio ushangae hata hapo kigoma wapo TMA ila wameshindwa kudetect hawana akili wamekalia uchawa
Hyo siyo typing error bali ni kutokujua unachokiandikaTyping error ujumbe umefika
Mm nina ubooo siyo hyo!Kwaio nikusaidiaje mkuu soma uzi wote usilete ujuaji wakikuma hapa
TMA hawahusiki na matetemeko kuna taasisi inaitwa geological survey kitu kama hucho ndio wahusikaTMA tapeli wale
Mwambie akakusemelee kwao, watu wengine bhana alivyokukomalia as if kuna mtihani wa kujibia, na hapo utakuta pangu pakavu........Kwaio nikusaidiaje mkuu soma uzi wote usilete ujuaji wakikuma hapa
Eeh boss nimesosma Geology hapo mpaka earthquake inatokea kuna shule kubwa sana ya hypocenter na epicenter na sababu zake why imetokea,,,,nikaongeza na Gemmology so ukienda porini kununua jiwe(diamond,tanzaniate,ruby etc) we nicheki.Ndio maana unajiita GemMaster ?
Sio typing error,kubali tu ulikuwa hujui na umekurupuka.Typing error ujumbe umefika
kwanini mtu asikubali kuwa alikuwa hajui?Mwambie akakusemelee kwao, watu wengine bhana alivyokukomalia as if kuna mtihani wa kujibia, na hapo utakuta pangu pakavu........
Ukijua wewe inatoshakwanini mtu asikubali kuwa alikuwa hajui?
Hii ni dalili kuwa mtu ni MPUMBAVU.
PatheticUkijua wewe inatosha
NywanokoPathetic