migomigokwetu
Senior Member
- Sep 27, 2026
- 106
- 70
Sema Kagera inapiga sana, nakumbuka 2021 ilichapa
Ni shida hilo dude, lile la kagera ndo nilielewa uhatari wake kabla ya hapo sikuwa najua linavyotisha, nililichukulia poa tu, sasa pata picha nchi zinazopigwa na 7 au 9,,,, kiamaKuna kanda mbili za bonde la ufa. Lipo la Mashariki na lipo la Magharibi. Maeneo yaliyo kwenye bonde la ufa ndiyo yaliyo hatarini zaidi kupata matetemeko. Mikoa uliyoitaja kama Arusha na Manyara ipo kwenye upande wa Mashariki wakati Kagera inaangukia upande wa Magharibi.
Poleni sana!Habari ya uhakika ni kuwa tetemeko la ardhi laikumba bukoba majira ya alfajiri ambapo wakazi waliamua kukumbia nje ya nyumba zao bila nguo kunusuru maisha yao hata hivyo hakuna madhara yeyote yaliyoripotiwa hadi sasa
TMA tunamba ufafanuzi wa hili swala iweje muone el nino lakini tetemeko la ardhi mshindwe kuliona na vipi kama lingeleta madhara makubwa kwa wananchi
View attachment 3687141
mmhDamn! Si litokee na Kizimkazi….
Umeshawahi kukutwa na tetemeko mkuu ardhi inavoshake unawezaje kurekodi kama sio mbio tu kiongozi 😂
Sio dunia ya sasa nayo ijua, try againUmeshawahi kukutwa na tetemeko mkuu ardhi inavoshake unawezaje kurekodi kama sio mbio tu kiongozi 😂
😹😹😹 Picha ziko wapi wakikimbia uchi?
Una mtazamo upi kuhsu wanaokesha makanisani kukemea matetemeko wakiyahusisha na mambo ya kiimani wakati kijiografia maeneo yanayopitiwa na tetemeko kiasili yapo kwenye ukanda wa bonde la ufa?Ni shida hilo dude, lile la kagera ndo nilielewa uhatari wake kabla ya hapo sikuwa najua linavyotisha, nililichukulia poa tu, sasa pata picha nchi zinazopigwa na 7 au 9,,,, kiama
Sina mtazamo wowote kawaida yangu nikiona jambo halinihusu napuuzaUna mtazamo upi kuhsu wanaokesha makanisani kukemea matetemeko wakiyahusisha na mambo ya kiimani wakati kijiografia maeneo yanayopitiwa na tetemeko kiasili yapo kwenye ukanda wa bonde la ufa?
Wanawake au wanaume? 😹Hata mm nazingojea kwa hamu.......ukizingatia Watu wa kule walivyojaaliwa😆😆
Wanawake au wanaume? 😹
Kapeace I am also curiousGeologist, unaweza kutuelezea uhusiano wa jua na uwepo wa tetemeko?
Hatuna utaalamu huo.Hili halikutolewa taarifa
paaaaaaa umempa ya kichwaMaku ni Samia 🖕.
Kumbe ukikimbia bila nguo inapunguza maafa/ inanusuru maishawakazi waliamua kukumbia nje ya nyumba zao bila nguo kunusuru maisha yao