Tetemeke la ardhi limetokea Bukoba leo alfajiri

TMA haihusiki na geological activities, kuna mamlaka inaitwa GST ndio nyanga zao hizo...

By the way 5.0 magnitude ni tetemeko linaloweza bomoa nyumba kwa ujenzi wa Kitanzania, una uhakika halijaleta madhara yoyote au epicentre yake ipo misituni?
Epicenter nadhani ilikuwa mbali huenda kulikuwa na receiving of waves ila kama ingekuwa hapo hapo oyaaa weeee
 
TMA haihusiki na geological activities, kuna mamlaka inaitwa GST ndio nyanga zao hizo...

By the way 5.0 magnitude ni tetemeko linaloweza bomoa nyumba kwa ujenzi wa Kitanzania, una uhakika halijaleta madhara yoyote au epicentre yake ipo misituni?
Hivi lile la 2016 lilikuwa la ukubwa gani? Nachokumbuka lilizidi hapo,

Nikujuze tu maajabu ni kwamba licha ya ukubwa wake huo bado madhara hayakuwa makubwa kiasi kwamba hadi wajapani walishangaa na walitafiti kwa kina nini sababu labda na wao wafanye huko kwao kupunguza madhara baada ya tetemeko.
 
Nadhani lilikuwa na 5.9 ( kwa msaada wa Google)...

Madhara hutegemea sana na kitovu cha tetemeko kilipo, aina ya maumbile nchi, aina ya tectonic plates zinazosababisha tetemeko n.k...
 
TMA haihusiki na geological activities, kuna mamlaka inaitwa GST ndio nyanga zao hizo...

By the way 5.0 magnitude ni tetemeko linaloweza bomoa nyumba kwa ujenzi wa Kitanzania, una uhakika halijaleta madhara yoyote au epicentre yake ipo misituni?
Umenikumbusha mbali sana enzi hzo Geology
 
Back
Top Bottom