Tetemeke la ardhi limetokea Bukoba leo alfajiri

Ni shida hilo dude, lile la kagera ndo nilielewa uhatari wake kabla ya hapo sikuwa najua linavyotisha, nililichukulia poa tu, sasa pata picha nchi zinazopigwa na 7 au 9,,,, kiama
 
Poleni sana!
 
Una mtazamo upi kuhsu wanaokesha makanisani kukemea matetemeko wakiyahusisha na mambo ya kiimani wakati kijiografia maeneo yanayopitiwa na tetemeko kiasili yapo kwenye ukanda wa bonde la ufa?
 
Sina mtazamo wowote kawaida yangu nikiona jambo halinihusu napuuza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…