Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
TobaaaWataalamu hudai tetemeko la kwanza huwa si baya, matetemeko yafuatayo ndio mabaya maana hudondosha majengo yaliyolegezwa.
Mungu atuepushie mbali Tanzania maana tutarudi ujimani na itatuchukua miaka 50 kusimama...
Nadhani kwakuwa umeandika kwenye platform inayosomwa na wengi na si wote wanaelewa kiarabu ndiyo maana amekushauri kutumia lugha inayoeleweka na wengi.Hiyo nimejisemea mimi mkuu kwasababu nikiona au kupata taarifa ya msiba ninalazimika kutamka maneno hayo lakini si maana mbaya, sisi ni wa allah na kwake tutarejea.
Wako busy kurusha makombora Ukraine wakati Mungu kawaonyesha anaweza kuigeuza Urussi ikawa kifusi ndani ya sekunde 90 tu.Urussi imetuma msaada wowote
Urusi imeshatuma waokozi 200 wenye vifaa vya kisasa na wanajiandaa kupeleka shehena ya madawa.Wako busy kurusha makombora Ukraine wakati Mungu kawaonyesha anaweza kuigeuza Urussi ikawa kifusi ndani ya sekunde 90 tu.
Wewe uko wapi?Mmh kila nchi na majanga yake
6.8Kati ya 2004 au 2005 mkoani kigoma lilipita
Lazima vitakuwa makumi ya maelfu; 7.5 siyo mchezo ni hatari mnoVifo vimefikia 600, huku GS ya Marekani ikisema vifo vutakuwa maelfu
Pamoja mkuu.Nadhani kwakuwa umeandika kwenye platform inayosomwa na wengi na si wote wanaelewa kiarabu ndiyo maana amekushauri kutumia lugha inayoeleweka na wengi.
Safi sana kama wamerespond katika hili janga lililowakumba wenzetuUrusi imeshatuma waokozi 200 wenye vifaa vya kisasa na wanajiandaa kupeleka shehena ya madawa.
Hujabebwa na dunia, umebebwa na Mungu. Mungu ndiye anayeibeba dunia
Kuna siku Dunia itachoka kutubeba na itaamua kutufunikia huko chini, haya ndio mashaka yangu.
Kwa sasa ni past 4,500 na idadi inaongezeka kwa kasi.Matumaini ya kuwakuta waliofukiwa na kifusi wakiwa hai baada ya masaa 24 kupita ni madogo sana kwa mujibu wa CNN na Sky NewsLazima vitakuwa makumi ya maelfu; 7.5 siyo mchezo ni hatari mno
Hebu uwe unashirikisha ubongo kabla ya kupopoma.Hii ni vita ya kiuchumi
Marekani na washirika wake hawa kulidhika na kuharibu maandiko matakatifu sasa wametuma tetemeko
Kama na sisi tuna chochote naomba tafadhali tuwapelekee Ubalozi wa Uturuki; angalau hata vifaa tiba tu. Hili janga huwa ni baya, mno, bora hata vitaErdogan kaomba msaada kutoka nchi mbali mbali
Acha mbwembwe...si useme tu...yaani kuna watu wanajikutaga kama yaani Mungu ni wao peke Yao. Mnaboa sana. Kujitiaga ujuajii...na kuona wengine wakosajiii....Walioichoma Qur'an ni watu kutoka nchi ipi Sweden, Turkey or Syria?
Ni kweli ila Uturuki ni razima isaidiwe kwa sababu na yenyewe huwa inatoa msaada sana kwa nchi zenye majanga.Safi sana kama wamerespond katika hili janga lililowakumba wenzetu
Sijaelewa, hebu nieleweshe tafadhali.HAKA KATETEMEKO SIKU MOJA KAVUTE BANGI KAPITE PALE MASHARIKI KATE KAWAFYAGIE WALE WOTE WAISHIO PALE NA MWEMBWE ZAO ZA KUONEA WENZAO.ERDOGAN KAPATA ZA USO TOKA KWA MUUMBA.
Kawaida huwa iko hivi: likitokea tetemeko moja kubwa lazima tena nyuma yake lifuatwe na matetemeko mengine madogo madogo (after-shocks), angalau moja au mawili. Ukubwa wa matetemeko haya madogo huwa unategemea ukubwa wa lile la mwanzo.Yametokea matetemeko 2
Hivyo nyumba kadhaa zitaendelea dondoka baada ya kulegea kutokana na tetemeko la kwanza.
Kuna video zaonesha nyumba zikidondoka zenyewe
Kwa nchi yetu haina chochote cha kutoa, hosp zetu zenyewe dawa hakuna, wananchi pia hawana chakula, wengi wanakula mlo mmojaKama na sisi tuna chochote naomba tafadhali tuwapelekee Ubalozi wa Uturuki; angalau hata vifaa tiba tu. Hili janga huwa ni baya, mno, bora hata vita
Naamini tunao pia uwezo wa kupeleka angalau chochote kupitia Ubalozi wa Uturuki. Katika hili, hata dola 10,000 si haba kwa sababu inaweza ikaokoa maisha ya mtu mmoja aliyeruhiwa.Mabomba ya gesi yamelipuka.
Poland, tayari katuma waokozi
Tanzania tutume hata maombi