Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Mungu awaone wasyria. Vita miaka 10+ leo tetemeko linafagia vilema na manusra waliookoka kwa mabomu na risasi!

Majeruhi wa tetemeko akifurukuta baridi haimuachi!! Ee Mungu ikikupendeza wasamehe waja hawa.
 
Vifo vimevuka 9,000

Watu zaidi ya 100,000 hawajulikani walipo

Bado watu wamefukiwa

Misaada mbali mbali inaendelea kutua
 
Syria hali itakuwa mbaya maana hadi muda huu mpaka pekee umefungwa, hivyo misaada imeshindwa wafikia.
Pia hakuna nchi inaruhusiwa kwenda huko
 
[emoji119][emoji119]
Mungu huwa ana maajabu na watoto.

Sijui kwanini watoto huwa Wana maajabu kwenye vitu vingi.
Kuna mwingine kabanwa na slab, hivyo wanamnywesha maji kwa kizibo hadi vifaa vifike, ni masaa 40
 
Graphic
Your browser is not able to display this video.
 
Graphic

Your browser is not able to display this video.
 
Graphic
Your browser is not able to display this video.
 
Hali ya hewa imekuwa mbaya maana kuna baridi kali

Japan
Iran
Ukraine
Israel
Zimepeleka misaada ya watu na vitu
 
Peresisheni ea wanakusikia mkuu.
 
Viumbe vimejituliza tuli ardhini mnavibukabukanya vinasogea kwa hasira mwisho mnapasuka paaah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…