Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Mungu awaone wasyria. Vita miaka 10+ leo tetemeko linafagia vilema na manusra waliookoka kwa mabomu na risasi!

Majeruhi wa tetemeko akifurukuta baridi haimuachi!! Ee Mungu ikikupendeza wasamehe waja hawa.
 
🥲[emoji4]
Mixture of Feelings

Mungu anaishi[emoji119]
Screenshot_20230208-104747.jpg
 
Vifo vimevuka 9,000

Watu zaidi ya 100,000 hawajulikani walipo

Bado watu wamefukiwa

Misaada mbali mbali inaendelea kutua
 
Syria hali itakuwa mbaya maana hadi muda huu mpaka pekee umefungwa, hivyo misaada imeshindwa wafikia.
Pia hakuna nchi inaruhusiwa kwenda huko
 
[emoji119][emoji119]
Mungu huwa ana maajabu na watoto.

Sijui kwanini watoto huwa Wana maajabu kwenye vitu vingi.
Kuna mwingine kabanwa na slab, hivyo wanamnywesha maji kwa kizibo hadi vifaa vifike, ni masaa 40
 
Graphic
 
Graphic

 
Graphic
 
Hali ya hewa imekuwa mbaya maana kuna baridi kali

Japan
Iran
Ukraine
Israel
Zimepeleka misaada ya watu na vitu
 
TANZANIA TUPELEKE TEAM YA UOKOZI .

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,
Waliojitoa kupeleka msaada Turkiye na Syria katika uokozi wa janga la tetemeko la ardhi lililotokea hivi majuzi sio kwamba nchini kwao wamejitosheleza bali ni katika kuonyesha mshikamano na jamii ya kimataifa , tupeleke hata waokozi 10 tu kutoka kitengo cha maafa , hii itatuma ujumbe mkubwa sana duniani, pili watapata uzoefu na kujifunza mengi sana jinsi ya kukabiliana na majanga , nchi nyingi zilizopeleka teams za uokoaji wametumia fursa hiyo ili kupata uzoefu na kujifunza kwa wengine jinsi ya kukabiliana na majanga.
Nawasilisha.
Peresisheni ea wanakusikia mkuu.
 
Viumbe vimejituliza tuli ardhini mnavibukabukanya vinasogea kwa hasira mwisho mnapasuka paaah.
 
Back
Top Bottom