Mungu wangu[emoji3064]Vifo vimefikia 400
Syria 250
Majeruhi ni Maelfu
Watu bado wamefunikwa na vifusi
Uturuki yatangaza hali ya dharura
Ghorofa zaidi ya 130 zimeharibiwa
Mungu wangu[emoji3064]Dah kwa athari hizi hata watu elfu kumi na kitu watafika aisee hali ni mbaya.View attachment 2508510View attachment 2508511View attachment 2508512View attachment 2508513View attachment 2508514View attachment 2508515View attachment 2508516View attachment 2508518View attachment 2508519
Sio Sweden? Kumbuka walianza kwa kuipiga Moto 🔥 Qur'an walipoona jamaa Wana kidomo domo wakawatumia kifurushi cha tetemeko cha sekunde 90, hapo vipi?Behind the scene kuna Israeli na US......Hata ile siku ya kujaribu kushambulia kwa drone ndani ya Iran walishambulia kwa tetemeko.....
Mmmh!! Haiingii hiiBehind the scene kuna Israeli na US......Hata ile siku ya kujaribu kushambulia kwa drone ndani ya Iran walishambulia kwa tetemeko.....
Nyinyi watu mpaka mzamishwe ndani ya ardhi ndio mtakiri kuwa kuna mwenye kuendesha mambo yote ulimwenguni, yaani hata hili nalo ni marekani?.Behind the scene kuna Israeli na US......Hata ile siku ya kujaribu kushambulia kwa drone ndani ya Iran walishambulia kwa tetemeko.....
إنا لله وإنا إليه راجعونSaint Anne
TURKEY QUAKE
- Turkey death toll stands at 2,379 and 1,444 in Syria
- 14,483 injured in Turkey, 3,531 in Syria
- Turkey has rescued 7840 people from under rubble
- 6,217 buildings destroyed in Turkey
- World Health Organization says as many as 20,000 people may have died
Masikini [emoji3064]Saint Anne
TURKEY QUAKE
- Turkey death toll stands at 2,379 and 1,444 in Syria
- 14,483 injured in Turkey, 3,531 in Syria
- Turkey has rescued 7840 people from under rubble
- 6,217 buildings destroyed in Turkey
- World Health Organization says as many as 20,000 people may have died
Wataalamu hudai tetemeko la kwanza huwa si baya, matetemeko yafuatayo ndio mabaya maana hudondosha majengo yaliyolegezwa.Masikini [emoji3064]
Nimeangalia video clip moja usiku,inaonyesha jengo linavyoshuka.
Nimeshindwa kuvumilia.
Tuwaombee wenzetu, Mungu awaponye haraka
Waliokufa wapumzike salama..
Na Mungu aendelee kuzilinda hizi nchi,haya majanga yasitokee tena.
Hiyo nimejisemea mimi mkuu kwasababu nikiona au kupata taarifa ya msiba ninalazimika kutamka maneno hayo lakini si maana mbaya, sisi ni wa allah na kwake tutarejea.Tumia lugha inayoeleweka
Iko siku kuku atasikizwa.Dua la kuku...........