Tetemeko kubwa lazikumba Uturuki na Syria. Watu zaidi ya 36,257 Wafariki Dunia

Wewe ni muongo
Screenshot_20230214-105220.png
 
Mzee wa miaka 78 apatikana hadi baada ya siku 10

Mtoto wa miaka 7 apatikana hai baada ya siku 8

Familia ya watu wawili wakutwa hai baada ya masaa 8
 
Kuna tetemeko limewahi kuua watu wengi zaidi ya turkey?
Ndio

Haiti 2010 liliua zaidi ya watu 310,000

Likafatia 2011 Japan likaua watu 10000

Baada ya hapo hili ndo kubwa na huenda likavunja historia Uturuki
Yapo mengi.

Mfano, Shaanxi China mwaka 1556. Inakadiriwa watu 830,000 waliuawa.

Tangshan China mwaka 1976. Watu 242,769.

Gansu China mwaka 1920. Watu 200,000.

Tokyo Japan mwaka 1923. Watu 142,807.

Huko Uturuki yenyewe, Antakya mwaka 115 AD na 525 AD watu waliokufa inakadiriwa watu 260,000 na watu 250,000 respectively.

Bila kusahau Port-au-Prince Haiti January mwaka 2010. Inakadiriwa watu zaidi ya 200,000.

Sumatra Indonesia Disemba 26, 2004 ikatokea na Tsunami watu wanaokadirikiwa kufikia 227,899 wakafariki.

Na kuna mengineyo.

Allah atunusuru.
 
Hatari sana Mungu atunusuru nawaza ikitokea kariakoo hatoki mtu
 
Yapo mengi.

Mfano, Shaanxi China mwaka 1556. Inakadiriwa watu 830,000 waliuawa.

Tangshan China mwaka 1976. Watu 242,769.

Gansu China mwaka 1920. Watu 200,000.

Tokyo Japan mwaka 1923. Watu 142,807.

Huko Uturuki yenyewe, Antakya mwaka 115 AD na 525 AD watu waliokufa inakadiriwa watu 260,000 na watu 250,000 respectively.

Bila kusahau Port-au-Prince Haiti January mwaka 2010. Inakadiriwa watu zaidi ya 200,000.

Sumatra Indonesia Disemba 26, 2004 ikatokea na Tsunami watu wanaokadirikiwa kufikia 227,899 wakafariki.

Na kuna mengineyo.

Allah atunusuru.
Umeenda historia ya zamani sana, mi nimeongelea historia ambayo wengi wanaikumbuka
 
Tetemeko la Sichuan China mwaka 2008. Lile la Sumatra mwaka 2004. Kashmir mwaka 2005.

Kumbe ulikuwa unazungumzia kuanzia 2010 na kuendelea? Ungebainisha basi. Mimi nilikuwa hasa naijibu comment hii hapa ya David Harvey

Back
Top Bottom