Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweliJamani idadi kubwa sana
Wewe ni muongoTetemeko hili litaivunja rekodi ya 1939 ambapo Waturuki 30,000 walikufa
Ukweli ni upi? tunaomba utupatie ukweli ikiwa unasema huu ni uongoWewe ni muongo
Wewe ni muongo
Kuna tetemeko limewahi kuua watu wengi zaidi ya turkey?Vifo vyafikia 41,000
Hesabu ya Saa 6 Usiku
Hatari MUNGU atuepushe na haya mabalaa na huu ujenzi wetu holelaNdio
Haiti 2010 liliua zaidi ya watu 310,000
Likafatia 2011 Japan likaua watu 10000
Baada ya hapo hili ndo kubwa na huenda likavunja historia Uturuki
Kuna tetemeko limewahi kuua watu wengi zaidi ya turkey?
Yapo mengi.Ndio
Haiti 2010 liliua zaidi ya watu 310,000
Likafatia 2011 Japan likaua watu 10000
Baada ya hapo hili ndo kubwa na huenda likavunja historia Uturuki
Hatari sana Mungu atunusuru nawaza ikitokea kariakoo hatoki mtuYapo mengi.
Mfano, Shaanxi China mwaka 1556. Inakadiriwa watu 830,000 waliuawa.
Tangshan China mwaka 1976. Watu 242,769.
Gansu China mwaka 1920. Watu 200,000.
Tokyo Japan mwaka 1923. Watu 142,807.
Huko Uturuki yenyewe, Antakya mwaka 115 AD na 525 AD watu waliokufa inakadiriwa watu 260,000 na watu 250,000 respectively.
Bila kusahau Port-au-Prince Haiti January mwaka 2010. Inakadiriwa watu zaidi ya 200,000.
Sumatra Indonesia Disemba 26, 2004 ikatokea na Tsunami watu wanaokadirikiwa kufikia 227,899 wakafariki.
Na kuna mengineyo.
Allah atunusuru.
JAPAN liliua watu 20kNdio
Haiti 2010 liliua zaidi ya watu 310,000
Likafatia 2011 Japan likaua watu 10000
Baada ya hapo hili ndo kubwa na huenda likavunja historia Uturuki
Umeenda historia ya zamani sana, mi nimeongelea historia ambayo wengi wanaikumbukaYapo mengi.
Mfano, Shaanxi China mwaka 1556. Inakadiriwa watu 830,000 waliuawa.
Tangshan China mwaka 1976. Watu 242,769.
Gansu China mwaka 1920. Watu 200,000.
Tokyo Japan mwaka 1923. Watu 142,807.
Huko Uturuki yenyewe, Antakya mwaka 115 AD na 525 AD watu waliokufa inakadiriwa watu 260,000 na watu 250,000 respectively.
Bila kusahau Port-au-Prince Haiti January mwaka 2010. Inakadiriwa watu zaidi ya 200,000.
Sumatra Indonesia Disemba 26, 2004 ikatokea na Tsunami watu wanaokadirikiwa kufikia 227,899 wakafariki.
Na kuna mengineyo.
Allah atunusuru.
Tetemeko la Sichuan China mwaka 2008. Lile la Sumatra mwaka 2004. Kashmir mwaka 2005.Umeenda historia ya zamani sana, mi nimeongelea historia ambayo wengi wanaikumbuka
Kuna tetemeko limewahi kuua watu wengi zaidi ya turkey?