Am the One
JF-Expert Member
- Nov 1, 2018
- 903
- 892
[emoji16][emoji16]Kuna yeyote aliyeshuhudia?
Mmh, ngoja tuoneTetemeko dar ? Lisijekuwa tsunami
Taarifa yake hiyoWakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Hahahahaha! Mtoto mlainiNimeogopa hadi sasa nahisi kutetemeka
Siyo Mafia?
Ahsanteni Sanaa wadauMafia kisiwani
Tetemeko la ardhi limepita katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Dar es salaam ,Pwani ,Morogoro na Arusha muda mfupi uliopita na kuibua hisia kwa wakazi.
Linaelekea barabara ya Mandela
huwezi elewa nachomaanisha. nchi haiwezi kuwa uchumi wa kati na haina acces to correct and timely information in advance. kwa maana TMA Kazi yake ni nini? utabiri wa hali ya hewa maana yake nini? unajua madhara ya earthquakes? unafikiri nazungumza siasa ama? pathetic fool wewe QUOTE="Iselamagazi, post: 36329333, member: 55522"]Uchumi wa Kati una uhusiano gani na mambo ya tetemeko. Nonsense kabisa!
upo sahihii kaka mimi naishi misufin morogoro mjin , yaan kama dk 45 hv zilizopita limetokea mm nikiwa ndan nikalazimika kukimbia maana lilikuwa kubwa mpaka nikahis nyumba inadondokaWakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro