Bahari ya hindi ipo hapo. Isije ikaja Tsunami.Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Sent as received
Leo nilikuwa USA lilipiga la kutosha tu nahisi ni njama za waarabu wa Beirut😂😂😂😂Haiwezekani hizi ni njama za mabeberu hizi we lini ulisikia sinza kuna tetemeko?
Dodoma pia ni ukanda wa earthquake.Tuko salama,Kuna nyepesi nyepesi nasikia linaelekea Dodoma( chamwino)
[emoji23][emoji23] naona mpo mapokeziChuga tunalisubiri bado!
[emoji23][emoji23][emoji23]nikafikiri ulimwaga kojo mkuuYaan limemwaga togwa yangu
epicenter ni bahari ya hindi juu kidogo ya MafiaBahari ya hindi ipo hapo. Isije ikaja Tsunami.
Kipimo 5.9Tetemeko la ardhi limepita katika maeneo mbalimbali ya mikoa ya Dar es salaam ,Pwani ,Morogoro na Arusha muda mfupi uliopita na kuibua hisia kwa wakazi.
Mjiolojia Gabriel Mbogoni amesema bado hawajasoma kwenye mfumo kujua ni la kiwango gani.
Baki nasi kufahamu zaidi. https://t.co/vy0tOpEXd9
Mikocheni halijapita
Ni togwa tu![emoji23][emoji23][emoji23]nikafikiri ulimwaga kojo mkuu
Chanika limepita kwa mbali. Niliona kama kochi linacheza, nikadhani labda mtoto alilitikisa, lakini nilihisi kama tetemeko hivi ingawa sikuwa na uhakika. Halafu pia kulikuwa na muungurumo fulani hivi, ila haukuwa wa nguvu pia. Kumbe lenyewe.Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Nimelisikia nilikua hapa Fantuz icd Ya Empty Containers Karibu nà kiwanda cha konyagi maeneo mboz road Temeke...
Mimi sijahisi chochote maeneo ya Ubungo hapa(Mawasiliano).
6.1 sorce tayariKipimo 5.9