Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Wadau muda wa saa 2:18 maeneo ya mbagala ardhi imetetemeka kama sekunde tano usiku huu
 
Amina Mungu atuepushe na haya majanga
Kumbe matetemeko ndo inakuaga hivi . Yani limepiga kidogooo tu ila nimepanic balaa ..sipati picha yale makubwa inakuaje?
Mungu atunusuru
 
Hili tetemeko ni dalili tosha kuwa Tanzania chini ya jemedari Dr. John Joseph Magufuli, sasa Tanzania imeingia kwenye uchumi wa kati, na ccm hapo Oct itaenda kushinda kwa ushindi wa kishindo.. Viva Magufuli
 
Hebu muulize Mjumbe hapo kama hili nalo liko kwenye ilani ya Chama!! Tumeahidi tunatekeleza
 
Hizi bangi mmmh.

Inawezekana lakini.
 
Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
... wanasubiria Geological Survey of America aka Mabeberu watujuze epicentre ilikuwa wapi maeneo ya Dar. Yap wametoa updates tayari; epicentre ilikuwa SE of Dar es Salaam with magnitude of 5.1 Ristcher scale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…