Hadi Tanga huku mida ya saa tatu usiku liliniyumbisha kwa sekunde mbili tu likapita!!Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo mkoa wa Dar es Salaam. Vipi huko kwenu?
Earthquake M6.1 - 3.495 miles of Field Patch - Tanzania by BMKG (2020-08-12 17:13:13 UTC)
--
Taarifa ya WanaJF walio mkoa wa Morogoro
Ulikuwa unapika maji ya kuoga au chakula.?Nilikuwa napika,nikazima jiko na kukimbia
Roma mwizi wa comment sana hadi nimemchokaKumbe Roma Mkatoliki ana ID humu! Cheki kaiba comment yangu[emoji23][emoji23]. Cheki time difference ya post yangu na yakeView attachment 1535477
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] pole mkuu ? Ila umlipe muuza supu pesa yake, maana yeye hajaleta tetemekoHili tetemeko limemwaga supu yangu
Unaongelea tetemeko Dodoma mkuu, Dodoma matetemeko hua yanapita Mara kwa Mara mkuu tofauti na dar , Dodoma ndio nyumbani kwa matetemeko sema hua hayana madharaNaona tetemeko halijui kuwa tumeshahamia idodomya.
Hali ya hewa na matetemeko wapi na wapi ?Ma geologist/seismologist ndo wanahusiana na matetemeko.Kama nawaona hali ya hewa wakipitiapitia hiz comments apa hlf kesho watoe mjumuisho.
Siyo Dar es Salaam tu na mkoa wa Pwani pia..Tetemeko la ardhi Dar es salaam
Uamuzi wa TFF kumhusu Morrison siyo halali...tehtehte...a joke please...tuombe tu Kama halikuleta madhara kokote...Hii inamaanisha nini?
Uache kula tunda kimasihara usije ukamuua kwa ngomaNampigia mama mtoto na simu haipatikani. Tumetoka kuongea dakika kadhaa nyuma. Check on ur loved ones.
Edit: Thank God she is fine. And like me, hajafeel kitu mpaka alipoambiwa.