Msolo JF-Expert Member Joined Oct 19, 2008 Posts 2,713 Reaction score 3,559 Aug 12, 2020 #21 Yes, nimehisi hivyo hapa
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Aug 12, 2020 #22 Kweli!!!?
dyuteromaikota JF-Expert Member Joined Apr 30, 2013 Posts 5,929 Reaction score 8,327 Aug 12, 2020 #23 Niko home maeneo ya Tabata bima naona katetemeko kadogo kamepita, hapo kwenu vipi?
Magesajr Member Joined Nov 13, 2018 Posts 32 Reaction score 79 Aug 12, 2020 #24 Elli Mshana said: Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo tu au hadi kwenu? Click to expand... Hadi huku Morogoro
Elli Mshana said: Wakuu hili tetemeko limepita Huku Ubungo tu au hadi kwenu? Click to expand... Hadi huku Morogoro
Mwanaume wa Shoka Member Joined Feb 15, 2014 Posts 99 Reaction score 17 Aug 12, 2020 #25 Hadi makuburi mkuu
G gvale Member Joined Aug 6, 2014 Posts 96 Reaction score 99 Aug 12, 2020 #26 Hata hapa moro limepita
Infantry Soldier JF-Expert Member Joined Feb 18, 2012 Posts 15,892 Reaction score 16,476 Aug 12, 2020 #27 Nilikuwa home hapa Kivule ninaangalia TBC ARIDHIO ikanibidi nitoke nje. Soma pia>>> Serikali bado haijathibitisha, lakini EATV inawatia hofu wakazi wa Dar. Wanasema Dar itazama baada ya miaka 50
Nilikuwa home hapa Kivule ninaangalia TBC ARIDHIO ikanibidi nitoke nje. Soma pia>>> Serikali bado haijathibitisha, lakini EATV inawatia hofu wakazi wa Dar. Wanasema Dar itazama baada ya miaka 50
Lavit JF-Expert Member Joined May 16, 2011 Posts 14,834 Reaction score 32,522 Aug 12, 2020 #28 Kishindo cha awamu ya 5 hicho..
U uncle JF-Expert Member Joined Dec 10, 2007 Posts 325 Reaction score 184 Aug 12, 2020 #29 Hadi Kigamboni limepita
L Lukaku marata JF-Expert Member Joined Dec 4, 2019 Posts 449 Reaction score 752 Aug 12, 2020 #30 Hii inamaanisha nini?
Kilangi masanja JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 4,495 Reaction score 5,025 Aug 12, 2020 #31 Niko Llindi wilaya ya Nachingwea limepita
martinezstavo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2020 Posts 735 Reaction score 1,552 Aug 12, 2020 #32 instanbul said: Tetemeko dar ? Lisijekuwa tsunami Click to expand... Mimi hapa kunajambo nawaza spati jibu kabisa kuhusu tetemeko kupita Dar!!!!!
instanbul said: Tetemeko dar ? Lisijekuwa tsunami Click to expand... Mimi hapa kunajambo nawaza spati jibu kabisa kuhusu tetemeko kupita Dar!!!!!
HDMI JF-Expert Member Joined Mar 10, 2018 Posts 672 Reaction score 1,332 Aug 12, 2020 #33 Tunashukuru serikali ya awamu ya tano kuleta tetemeko
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 30,567 Reaction score 86,748 Aug 12, 2020 #35 Duuh aise
onlyalvira JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 1,499 Reaction score 3,113 Aug 12, 2020 #36 Nilikuwa napika,nikazima jiko na kukimbia
pombe kali JF-Expert Member Joined Jun 28, 2014 Posts 282 Reaction score 561 Aug 12, 2020 #37 Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya Kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
Kuna tetemoko la ardhi limepita huko maeneo ya Kitunda kama kuna mtu amelisikia tu naomba mamlaka ya Hali ya hewa kutoa tamko
WenGer1 JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 292 Reaction score 556 Aug 12, 2020 #38 Nilikuwa nimekaa kwenye sofa nilidhani kuna CHATU chini ya kiti
onlyalvira JF-Expert Member Joined Dec 9, 2013 Posts 1,499 Reaction score 3,113 Aug 12, 2020 #39 Hapa magomeni pia limepita
gijos JF-Expert Member Joined Nov 12, 2017 Posts 1,171 Reaction score 1,786 Aug 12, 2020 #40 Sio poaaaa. Nipo Kinondoni hapa, nilikaa kwenye kiti ghafla kiti kikaa kushake. Mbio nilizotimua hapa sio poa
Sio poaaaa. Nipo Kinondoni hapa, nilikaa kwenye kiti ghafla kiti kikaa kushake. Mbio nilizotimua hapa sio poa