Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Dah nilikuwa ndani nikahisi ni mimi tu nikatoka mbio kwenda nje nikawauliza wenzangu nao wamehisi kutikiswa.
Kuna mjinga mmoja akasema β€œBaba wa Taifa anajigeuza!... β€œ Daaamn [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimeogopa hadi sasa nahisi kutetemeka
Nenda kakate gogo utapona tu.. vumilia ndo maisha hayo..πŸ˜‚
Si huwa mnalisikia tu likipita mikoani haya sasa Mambo yamekuwa Mambo..
 
Mwananyamala koma koma hapa limepita kwa Kasi ya ajabu

One love
 
Saa mbili na robo ushaanza kugegeda?
 
Nimeshuhudia kitanda nilicholalia kikitetemeka pamoja na vifaa vya chumbani vikitetemeka. Tunaomba taarifa zaidi toka mamlaka husika
 
Dah nilikuwa ndani nikahisi ni mimi tu nikatoka mbio kwenda nje nikawauliza wenzangu nao wamehisi kutikiswa.
Kuna mjinga mmoja akasema β€œBaba wa Taifa anajigeuza!... β€œ Daaamn [emoji28][emoji28][emoji28]
Pole
 
Tanga mjini pia limepita..saa 2:15 usiku huu..
 
Dah nilikuwa ndani nikahisi ni mimi tu nikatoka mbio kwenda nje nikawauliza wenzangu nao wamehisi kutikiswa.
Kuna mjinga mmoja akasema β€œBaba wa Taifa anajigeuza!... β€œ Daaamn [emoji28][emoji28][emoji28]
Hahahaha eti Baba wa taifa anajigeuza kwani alizikwa dsm.Sijaskia Mimi hilo tetemeko kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…