Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Tetemeko la Ardhi latokea baadhi ya Mikoa ya Tanzania

Rufiji ilikuwa too much, hatukuielewa mifugo yetu... saa 1 jioni ilikuwa inafanya fujo sana mabandani....tulihisi labda kuna mduu au mnyama mkali
 
Tunangoja wenye takwimu zao maana awachelewi kukwambia umevunja sheria za takwimu.
 
Daniel 5 : 25 Na maandiko yaliyoandikwa ni haya; MENE, MENE, TEKELI, NA PERESI.
 
north korea wametest kombola 🤣



1597310514742.png
 
Yaani we acha tu Mungu apishie mbali, tena mbali sana. Magnitude ya 6.0 ni kubwa mno, sema waves zake huwa ni LONG, zinakuwa ndefu kuyaruka majengo. Lingetokea wakati wa kazi, ungewasikia watu kwenye maghorofa marefu mjini taharuki ambayo ingetokea
Hakika Mungu ni mwema mkuu na bado anatupenda sana.
 
Wakuu hv hli tetemeko bado linaendelea au wenge langu tu...Mana dakika chache sa hv nimepumzka namehisi mtkisko kwa mbali...
 
Back
Top Bottom