Freedom tommorrow
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 1,795
- 1,131
Rufiji ilikuwa too much, hatukuielewa mifugo yetu... saa 1 jioni ilikuwa inafanya fujo sana mabandani....tulihisi labda kuna mduu au mnyama mkali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LIMESEMAJE?Na sisi tumelisikia
Pole mama
MatagaLIMESEMAJE?
Limetokea ndani ya maji baharini, angalia ramani hapo juuTetemeko Dar? Lisijekuwa tsunami
Mambo ya kula tunda la nje yamekufa tangu 2013Uache kula tunda kimasihara usije ukamuua kwa ngoma
Yaani we acha tu Mungu apishie mbali, tena mbali sana. Magnitude ya 6.0 ni kubwa mno, sema waves zake huwa ni LONG, zinakuwa ndefu kuyaruka majengo. Lingetokea wakati wa kazi, ungewasikia watu kwenye maghorofa marefu mjini taharuki ambayo ingetokeaSio mchezo ndugu yangu
Sio Ubungo hadi Tegeta limepiga.
Hakika Mungu ni mwema mkuu na bado anatupenda sana.Yaani we acha tu Mungu apishie mbali, tena mbali sana. Magnitude ya 6.0 ni kubwa mno, sema waves zake huwa ni LONG, zinakuwa ndefu kuyaruka majengo. Lingetokea wakati wa kazi, ungewasikia watu kwenye maghorofa marefu mjini taharuki ambayo ingetokea
Wajenge upya hizo nyumba
Hapana. Halikusema JE.
We jamaa hii comment yako imetrend kwenye memes huko[emoji1787][emoji1787]Laizer aache kuchimbachimba. Bil 7 hazimtoshi[emoji35]. Atakuja atuue
Roma aje anipe sharauti[emoji1787]We jamaa hii comment yako imetrend kwenye memes huko[emoji1787][emoji1787]