Tetemeko mjini Arusha

Itakuwa oldonyo lengai megan imechanganya chini na lavae kububujika.
 
Tetemeko limeniulia Ng'ombe yangu
 
Nikweli Arusha imepita..nilikuwa hapa maeneo ya Ngulelo nimesikia
Aiseee mkuu huko chuga salama lakini.

Nimepamiss sana hapo ngulelo.

Kuna chimbo opposite na kituo cha polisi hapo nilikua nakuja pata nyama choma.

Ile njia ya kuteremkia moshono.
 
Tetemeko limeni okoa na uzinzi apa picnic..nme kumbuka mwili wangu ni ekaru la bwana .
Nimepitia hapo mida ya saa kumi na mbili kupasha mwili moto mkuu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimekuwa nikiona mara nyingi pale wanasayansi wanaposema Dunia inakuwa mbali na jua (aphelion)July 3-6 ndio Hali hii hutokea Hadi pale jua likikaribia Dunia (perihelion) 2-4 January Hali ya tetemeko hupungua
Sikujua hili, shukrani kwa taarifa.
 
Ni kweli mimi Dodoma huwa nayasikia Mengi muda mwingine huwa nadhani ni timbo linavuruga,, ila nikiingia katika Google huwa napata majibu Matetemeko Mengi huwa na Magnitude Ndogo.
 
Jemedari kasharusha picha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…