The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Itakuwa oldonyo lengai megan imechanganya chini na lavae kububujika.Wasalaam,
Wandugu, ni kweli nimepata beer kadhaa za safari lakini sidhani Kama nimelewa kushindwa kusikia hiki nilichosikia around 8:33 up to 8:34 pm almost 30 seconds kumetokea tetemeko la kutisha maeneo ya , Siwandeti, Ilboru na maeneo ya jirani mjini Arusha, Kuna mtu mwengine aliye shuhudia hili?
Wasalamu.