Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)


Asante ila umesahau watu laki moja waliangalia online kwa tsh.3000
Pia vodacom wamedhamini kwa mamilioni ya pesa, jamii forums pia walikua wadhamini wake pamoja wadhamini wengine so jumlisha apo sijui inakuja how much
 

Huyu ruge ana mahela halafu ana maakili mno,hez a billionaire
 

Sawa ila labda hadi ruge afe ndio wasanii wa bongo watakua mamilionea
 
Kitu nilichokigundua watu wanamchukia sana diamond sijui kwa sababu gani, hata kama amepata mil 200 kitu ambacho si kweli, wanaofurahia hawawezi pata hizo hela mpaka wanarudi kwa muumba hahahahaha
 
yaaan huu uzi nmeupitia kuanzia mwanzo adi mwisho.ndio naanza kupata picha kwa nini wabongo hasa vijana biashara znatushinda hata at the initial stage.yaaan mtia mada hata biashara ya vitumbua huiwezi kwa hesabu zako.yaaan aiseee adi naona aibu kusoma baadhi ya comment.ivi ruge unaweza kumtenganisha na babu tale au saidi fella!!? kweli unashindwa hata kujua udhamini wa mawingu kwenye ile party??unadhani udhamini ni lazima utaoe pesa??kweli unaahindwa hata kujua kua mlimani city iliwekwa faniture na mapambo ya kila aina ya gharama.yaaan io ml700 yako unayoisema kama viingilio yaweza kua ilishia kwenye mapambo ya ukumbi na kodi.aiseee jaman tuache kujidhalilisha ivyo.tuongee mambo ya kitaharam angalau kitaharamu.izi konyagi tunazokunywa vilabuni na kuja kuandika uzi jf zitatuvunjia heshima hata kimataifa jaman
 
Kitu nilichokigundua watu wanamchukia sana diamond sijui kwa sababu gani, hata kama amepata mil 200 kitu ambacho si kweli, wanaofurahia hawawezi pata hizo hela mpaka wanarudi kwa muumba hahahahaha

Wengi wenye chuki si hawa watu wanaoshinda kwenye mitandao ya kijamii na hawana la maana la kufanya!
 

sio kitaharamu mkuu bali kitaalamu umesomea wapi mbwiga wewe
 

Mapambo ya Milioni 700? Hata PARADISO hakuna mapambo ya gharama hiyo
 

Sikujua kama wewe ni mwanamke!
 
wabongo nimegundua kitu kimoja tuna roho moja chafu sana yani hatusapotiana na km ukimchukia mtu bas u wont appreciate wherever he or she is doing
niulize sie tunaomzomea mondi kwa kupata MILIONI MIA MBILI eti ndogo
hv mko serious au ndi chuki
aisee this iiss too much
simkubali mondi ila kwa hapa anastahk pongezi
jiulize can u make ten mils per night?mpk umcheke dai ?
nyie mshawahi ht kunegociate mkataba ht wa 30mils
hebu tuacheni nyodo
kwanza tumpe hongera dogo maana i hope next time itakua bonge la show...
 
wewe ndio mungu akusaidie maana kichwani hakuna kitu yani zero kabisa...

nakuonea huruma.yaaan mungu angekupa hata kavitis tusingelala.yaaan inaweza kua mwanaume wewe lakin una roho ya kike kike..
 

Akili ya kuambiwa changanya na zako.
 
Mbona tale alisema ticket za mil 3 hazizidi 50
 
Du waliotoa M3 watakuwa wamerogwa na nani? Shetani mweupe kawapitia, Angalau achukue Ten m, amsopu sopu baba yake eheee!!!

Mkuu, je mtu akiamua katika ile million 10 ya mboga atoe tu million tutatu kuna hasara hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…