Tetesi: Clouds Media na 'mpunga' wa Zari (Revealed)

200m ndogo? jamani hivi kukaa mwezi ukabuni kitu ukapata return ya 200m useme imekula kwako? mbona mi nadhani ni super profit! au kwa kuwa sina?
Sema wewe kiazi mimi muhogo
Ntaambiwa muongo. .U have nailed it
In a month's time ku make milion 200
Ni super profit win win
 
Huyu bwana ni muongo mtupu hajui chochote
 

Kwa uelewa wangu ticcket ya mil 3 unapata meza ya watu 8... Wakati ticket ya mil 1 unapata keza ya watu wa 4

Kwa hesabu zako kama ticket za mil 3 zilikuwa 150 basi jumla ya waliongia kupitia ticket hizo ni watu 1200(150*8)
Kwa ticket za mil 1 kwa hesabu zako kama zilikuwa 120 basi walioingia walikuwa 480(120*4)

So jumla ya VIP tickets tu ni watu 1680(1200+480)

Haya chukua tickets za elfu 50 na laki 1 ambazo hizi ni za mtu mmoja mmoja ambapo kwa hesabu zako kwa za elfu 50 zimeuzwa 1563 na za laki 1 zimeuzwa 570 inakuwa ni 2133(1563+570)

Ukichukua jumla ya watu wa VIP tickets na tickets za kawaida unapata total ya watu 3813 afu wewe unatuambia ukumbi wa mlimani city unachukua watu 2500 tu

Sasa jombaa rudi utengeneze tena hizi hesabu zako

Zingatia Babu Tale ambaye ni meneja wa Diamond alipohojiwa na Millardy Ayo alisema tickets za mil 3 zilikuwa 6 tu
 
Buku tatu yangu siioni kwe upembuzi so kachukua nani
 
Clouds walilipwa pesa yao ua matangazo tu acheni uzushi
Zari hajaanza leo wala jana kufanya hizi party zake, ni mzoefu mmno na anaijua pesa mmno
Hawezi kuuza kwa staili hiyo

Hii hapa chini ndio list ya waratibu na wapishi wakuu wa shughuli nzimaa
 
Hapa wanaanda na kuzifunga kadi wenyewe wanasimamia mzigo
 
Toa sababu zako kwanini unasema ni uongo?
Weka facts mezani sio blah blah.

Dada ni uongo wa hali ya juu,mimi nilikuwepo ukumbini.kwanza meza za mil.3 zilikuwepo sita tu.
Pili meza za tiketi za mil.1 zilikuwa hzizidi 20 wakiongozwa na kajala na mhe.makonda.idadi ya wageni wa laki 1 na 50,000 ndio sina uhakika sana ila 50,000 tulijaa ikawa hakuna hata sehemu ya kutema mate
 
Kwa hiyo wote walioenda kwa zari jana walinunuliwa na ruge ebwanaee hatari,yaani promo lote lile kaambulia mil.200? Hatari mond na zari inabidi waandamane kwani huu ni ufisadi mwingine. Ila ruge anajua sana
unavoiandika hiyo miliono 200 kama unayo vile hata 0.009 yake!
 
Ndio maana naipenda hii couple inajitambua...

Lazima walikoma Zari kuwakatalia wakajua wana dili na high class celebs sio pesa za mchezo.

Hata kama clouds ilipata ka adilimia fulani ila Ruge kutuma mtu na kuamua kwenda mwenyewe lazima amekutana na shoka....

Wasanii wa bongo woga mwingi, Diamond ni anajua dhamani yake pia...na now Zari anajijua....nice one
 

Wewe umepata sh ngapi? Si unajua na sponsors walikuwepo lazima wamelamba zaidi ya hiyo pesa...tulia sakafu...
 

Ziliongezwa 4 pia za m3 demand watu walitaka so zikawa 10...so zilikuwepo labda haIkupangwa kama sita walizotaka wao mwanzoni...
 
Hakuna uwizi hapa ni biashara tu.....Zari na Diamond hawakua tayari ku take risk so wakaamua wachukua mzigo wao mapema...

Unajua hii party sio ya kwanza Zari kufanya?

Kutake risk kivipi?

Kwani hata D show zake anawauziaga clouds?
 
ruge kabeba mkwanja wote,mtajibeba

Yaani wewe unasikitisha y usikopy ukawa kama Diamond?

Clouds wamepata pesa ya matangazo...chezea celebs na akili zao?

Unadhani Zari na Diamond ni ka wewe na bosi wako?

Mwambie bosi wako afanye basi tuone.

Pole sana usijali Diamond yupo juu ndio alivyopangiwa na Mungu...nyota nyota
 
Ziliongezwa 4 pia za m3 demand watu walitaka so zikawa 10...so zilikuwepo labda haIkupangwa kama sita walizotaka wao mwanzoni...

Vipi Dada najua na kodi yetu ililipwa serikalini au sio mie ni hilo tu
 
tiketi za m3 zilikuwa kumi tu hizo 150 zimetoka wp.....tuache ushabiki maandazi na mikate.....
 
Hao wote walitamania

Ya Uganda 2014 party ya Zari, ciroc ndio walibeba bendera....

Bora mtu kutaka kujua wanafanyeje nawe ufanye kuliko kutaka kuponda na umekaa unashuka au ndio upo pale pale ulipo tangu...

Natumaini Zari atakua amenyanyua fikra za wanawake wengi esp wasanii waanze kutambua value zao...na kusaka pesa kwa bidiii bila kushuka na juu ya yote kujiheshimu na wadau kuona hivyo sio kuruka kura na kucheka ovyo kama sijui nini...Uganda Oyeeeeeeeerr
 

Attachments

  • 1430635955339.jpg
    66.5 KB · Views: 175
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…