Ziendelee ila kwa benefit ya family nzima, kuna mengi tu ya kujenga kwenye hii equality movement, mambo ya mirathi, mila potofu kuachana kila mtu aangalie faida na hasara zake, kama faida ni kubwa sana inabidi aondoke tu, kama wale wanaopigwa hadi kuzimia, matunzo hakuna kabisa wakati pesa mume anazo, Mume ana tabia za kishoga hapo mbona hata jamii itakuelewaExactly Lizzy. Ndicho Mama Mkubwa anachosema hapo chini.
So, how can we reconcile this? Tuachane na hizi equality movements? Are fighting a loosing battle?
Sawa Lizzy kuna ya kuvumilia na ya kutovumilia pia.Kwa mimi la kutovumilia ni kupigwa hadi kupoteza kiungo cha mwili, ila kucheat naiangalia kivingine zaidiGaga sio wote wanakua "better and stronger"!Wengine kuwasamehe ni sawa na kuwaruhusu wakutendee makubwa na mabaya zaidi wakijua watasemehewa...ndo maana watu wanapigwa mpaka kuuwawa..wanadanganywa mpaka kuletewa magonjwa na wengine wanasimangwa na kunyanyaswa mpaka wanachanganyikiwa!Kila kitu kiwe na kiasi..mwenzako akianza kuchukulia uvumilivu wako kama udhaifu ndo basi tena!
Sawa Lizzy kuna ya kuvumilia na ya kutovumilia pia.Kwa mimi la kutovumilia ni kupigwa hadi kupoteza kiungo cha mwili, ila kucheat naiangalia kivingine zaidi
Sawa Lizzy kuna ya kuvumilia na ya kutovumilia pia.Kwa mimi la kutovumilia ni kupigwa hadi kupoteza kiungo cha mwili, ila kucheat naiangalia kivingine zaidi
Even cheating with another woman on our bed while you sleeping in the kids room bado unaiangalia kivingine zaidi?
Maanake ni sawa na kukuta mtu anaomba msamaha mke wangu nisamehe huyu mwanamke nimetembea nae guest si kitandani kwetu. Does it make difference umetembea nae wapi?
Thats why nakwambia naiangalia kivingine kuna zilizozidi mipaka nakukupa majeraha sana, ukatae usikata hii inakuwa imezidi mipaka, but Mungu wetu ni mkubwa katupa mioyo migumu steel wapo wababa wengi tu wamesamehewa hili na wanaishi na wake zao. imagine baba mmoja alikutwa na housegirl ndani kitandani watu wakajazana pale waandishi wa habari pia, but yule mama alikuwa analia waandishi waondoke wasimdhalilishe mumewe, hii nayo ni kali ya mwaka. Napenda nieleweke kila mtu ana mipaka yake ya uvumilivu usiloweza wewe wenzako wanaliwezaEven cheating with another woman on our bed while you sleeping in the kids room bado unaiangalia kivingine zaidi?
Hii haivumilikiMpaka akuletee ndani maana yake ni kwamba si tu haheshimu ndoa yenu bali anakudharau na wewe!
Mpaka akuletee ndani maana yake ni kwamba si tu haheshimu ndoa yenu bali anakudharau na wewe!
Hii ipo na itaendelea kuwepo nahisi wa kumuomba Mungu ni wewe ukiolewa lisikupate, i was thinking the same before this kind of situation caught me, yaani hata mtu akilalama jaman mume wangu kafanya hivi nitampa mawazo na pole ila nikienda pembeni najiambia mwenyewe hivi mwanaume anawezaje kumfanyia hivi mkewe! wangu hawezi fanya hivi, na akifanya siwezi vumilia kamwe nitaondoka, miaka ikaenda liliponipata hata kusimulia sikusimulia mwanzoni aibu niliyosikia.Cause i was so proud of him nikiwa na ma fle...experience is the best teacher, muombe Mungu Gaga akuepushe na hiyo experience.
Hii haivumiliki
Hii ipo na itaendelea kuwepo nahisi wa kumuomba Mungu ni wewe ukiolewa lisikupate, i was thinking the same before this kind of situation caught me, yaani hata mtu akilalama jaman mume wangu kafanya hivi nitampa mawazo na pole ila nikienda pembeni najiambia mwenyewe hivi mwanaume anawezaje kumfanyia hivi mkewe! wangu hawezi fanya hivi, na akifanya siwezi vumilia kamwe nitaondoka, miaka ikaenda liliponipata hata kusimulia sikusimulia mwanzoni aibu niliyosikia.Cause i was so proud of him nikiwa na ma fle
EMT unanichekesha sana. Tatizo ni kitanda walichotumia au kucheat?
Maanake ni sawa na kukuta mtu anaomba msamaha mke wangu nisamehe huyu mwanamke nimetembea nae guest si kitandani kwetu. Does it make difference umetembea nae wapi?
Yes cheating is cheating but the force behind it is never the same.Mtu akienda guest anaweza akasema ni tamaa tu na akaeleweka.Ila atakaebebana na kimada huko mpaka nyumbani kwenu inakua ni zaidi ya tamaa.Hamna heshima tena kwako au hata wenenu kama mnao maana anawaletea madudu yake mpaka nyumbani ili mshuhudie kabisa!Ni sawa na mtu anaetembea na mdogo wako wakuzaliwa nae compare na mwanamke mwengine usiemfahamu!To me cheating ni cheating
....ukiolewa .....