Tetesi: Eti hatuko naye tena?

Tetesi: Eti hatuko naye tena?

Exactly Lizzy. Ndicho Mama Mkubwa anachosema hapo chini.

So, how can we reconcile this? Tuachane na hizi equality movements? Are fighting a loosing battle?
Ziendelee ila kwa benefit ya family nzima, kuna mengi tu ya kujenga kwenye hii equality movement, mambo ya mirathi, mila potofu kuachana kila mtu aangalie faida na hasara zake, kama faida ni kubwa sana inabidi aondoke tu, kama wale wanaopigwa hadi kuzimia, matunzo hakuna kabisa wakati pesa mume anazo, Mume ana tabia za kishoga hapo mbona hata jamii itakuelewa
 
Gaga sio wote wanakua "better and stronger"!Wengine kuwasamehe ni sawa na kuwaruhusu wakutendee makubwa na mabaya zaidi wakijua watasemehewa...ndo maana watu wanapigwa mpaka kuuwawa..wanadanganywa mpaka kuletewa magonjwa na wengine wanasimangwa na kunyanyaswa mpaka wanachanganyikiwa!Kila kitu kiwe na kiasi..mwenzako akianza kuchukulia uvumilivu wako kama udhaifu ndo basi tena!
Sawa Lizzy kuna ya kuvumilia na ya kutovumilia pia.Kwa mimi la kutovumilia ni kupigwa hadi kupoteza kiungo cha mwili, ila kucheat naiangalia kivingine zaidi
 
Sawa Lizzy kuna ya kuvumilia na ya kutovumilia pia.Kwa mimi la kutovumilia ni kupigwa hadi kupoteza kiungo cha mwili, ila kucheat naiangalia kivingine zaidi

...experience is the best teacher, muombe Mungu Gaga akuepushe na hiyo experience.
 
Sawa Lizzy kuna ya kuvumilia na ya kutovumilia pia.Kwa mimi la kutovumilia ni kupigwa hadi kupoteza kiungo cha mwili, ila kucheat naiangalia kivingine zaidi

Even cheating with another woman on our bed while you sleeping in the kids room bado unaiangalia kivingine zaidi?
 
Sasa hivi atafumaniwa huko akhera ambako anajibu tuhum za kuleta kimada wakati mkewe yuko ndani. Hivi jamani aibu inapokutoka na kubaki kuwa mnyama. Huyu baba sikuwahi kumwelewa na kitendo chake cha kuleta mwamamke mwingine ndani wakati mkewe anawasikilizia

Son of David have Mercy! Ila makumbusho ina mambo jamani, kwenye masuala ya kufumaniana. Juzi tena soo limetokea usiku wa manane watu wanakimbizana kumbe wamefumaniana. NIkabaki kucheka tu.
 
EMT unanichekesha sana. Tatizo ni kitanda walichotumia au kucheat?

Even cheating with another woman on our bed while you sleeping in the kids room bado unaiangalia kivingine zaidi?
 
Maanake ni sawa na kukuta mtu anaomba msamaha mke wangu nisamehe huyu mwanamke nimetembea nae guest si kitandani kwetu. Does it make difference umetembea nae wapi?
 
Maanake ni sawa na kukuta mtu anaomba msamaha mke wangu nisamehe huyu mwanamke nimetembea nae guest si kitandani kwetu. Does it make difference umetembea nae wapi?

Mpaka akuletee ndani maana yake ni kwamba si tu haheshimu ndoa yenu bali anakudharau na wewe!
 
Even cheating with another woman on our bed while you sleeping in the kids room bado unaiangalia kivingine zaidi?
Thats why nakwambia naiangalia kivingine kuna zilizozidi mipaka nakukupa majeraha sana, ukatae usikata hii inakuwa imezidi mipaka, but Mungu wetu ni mkubwa katupa mioyo migumu steel wapo wababa wengi tu wamesamehewa hili na wanaishi na wake zao. imagine baba mmoja alikutwa na housegirl ndani kitandani watu wakajazana pale waandishi wa habari pia, but yule mama alikuwa analia waandishi waondoke wasimdhalilishe mumewe, hii nayo ni kali ya mwaka. Napenda nieleweke kila mtu ana mipaka yake ya uvumilivu usiloweza wewe wenzako wanaliweza
 
To me cheating ni cheating iwe kwenye gari, ofisini, kanisani, guest, kitandani kwetu, safarini. Sasa swala la kusamehe au kutosamehe alina uhusiano na tendo limefanyika wapi.
Maana ni sawa na kusema wanao tumia guest kucheat ni good cheaters (hawajakubuhu) compared to wanaotumia vyumba vyao?

Mpaka akuletee ndani maana yake ni kwamba si tu haheshimu ndoa yenu bali anakudharau na wewe!
 
...experience is the best teacher, muombe Mungu Gaga akuepushe na hiyo experience.
Hii ipo na itaendelea kuwepo nahisi wa kumuomba Mungu ni wewe ukiolewa lisikupate, i was thinking the same before this kind of situation caught me, yaani hata mtu akilalama jaman mume wangu kafanya hivi nitampa mawazo na pole ila nikienda pembeni najiambia mwenyewe hivi mwanaume anawezaje kumfanyia hivi mkewe! wangu hawezi fanya hivi, na akifanya siwezi vumilia kamwe nitaondoka, miaka ikaenda liliponipata hata kusimulia sikusimulia mwanzoni aibu niliyosikia.Cause i was so proud of him nikiwa na ma fle
 
Tena wale wanaoapa kuwa hawatavumilia cheating ndio wanao end up kuwa wavumilivu wazuri tu.

Hii ipo na itaendelea kuwepo nahisi wa kumuomba Mungu ni wewe ukiolewa lisikupate, i was thinking the same before this kind of situation caught me, yaani hata mtu akilalama jaman mume wangu kafanya hivi nitampa mawazo na pole ila nikienda pembeni najiambia mwenyewe hivi mwanaume anawezaje kumfanyia hivi mkewe! wangu hawezi fanya hivi, na akifanya siwezi vumilia kamwe nitaondoka, miaka ikaenda liliponipata hata kusimulia sikusimulia mwanzoni aibu niliyosikia.Cause i was so proud of him nikiwa na ma fle
 
EMT unanichekesha sana. Tatizo ni kitanda walichotumia au kucheat?

Maanake ni sawa na kukuta mtu anaomba msamaha mke wangu nisamehe huyu mwanamke nimetembea nae guest si kitandani kwetu. Does it make difference umetembea nae wapi?

B'se nafikiri ni wewe Nyumba Kubwa au mdau mwingine amesema huko nyuma kuwa pamoja na kuwa wanaume wanacheat bado huwa wanawapenda wake zao aka nyumba kubwa. So, mpaka mpaka aje a-cheat kwenye kitanda chenu wakati wewe umelala chumba cha watoto ndio kukupenda huko? Of course whether ni kwenye guest or kwenye matrimonial home haimake difference kwenye cheating lakini implications ni kubwa.
 
To me cheating ni cheating
Yes cheating is cheating but the force behind it is never the same.Mtu akienda guest anaweza akasema ni tamaa tu na akaeleweka.Ila atakaebebana na kimada huko mpaka nyumbani kwenu inakua ni zaidi ya tamaa.Hamna heshima tena kwako au hata wenenu kama mnao maana anawaletea madudu yake mpaka nyumbani ili mshuhudie kabisa!Ni sawa na mtu anaetembea na mdogo wako wakuzaliwa nae compare na mwanamke mwengine usiemfahamu!
 
It would take a strong woman to not settle for less. Kuna sababu mbalimbali zinafanya kina mama to be trapped in a bad or abusive relationship:

1. Wanaweza wakawa wanawapenda sana waume zao. Too much that they become dumb. Their happiness depend on this man. Hawa wanawake hata waambiweje na kushauriwaje hawashauriki. Mfano ni binti mpole hapo juu aliyelazimishwa na familia yake atoke kwa bwana but bado akawa anarudi kwa kujificha. This could happen to any woman.
2. Wanawake wengine wana settle for less kwa sababu ya maslahi. Maisha bora, Gari nzuri, nyumba ya kifahari, watoto kwenda IST, etc. Hawa ni wanawake on a mission. They don't give a danm where the husband spends the night. Ndio wale utasikia hata kwenye tendo la ndoa wao usoma gazeti wakati mme anamaliza mahitaji yake. Hawa wanawake huwaacha waume zao pale waume wakifilisika.
3. Kuna wanawake wengine wanaprotect image, they feel society will view them as a failure if they get divorced. Kuna mfano wa wamama mawaziri not able kutoa talaka ingawa wanauwezo wa kujitegemea. Hii inaweza kuwa ni image protection.

All in all tuombe Mungu atuepushe from bad relationship, everyone deserves a happily ever after.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom