Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa na kutoeshwa hata kuuawa.
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Hii ni tetesi

Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi

Jamaa yupo Canada now

Huyu sio fala kama Polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo

Kwa mfano Polepole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie

Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe

Utulivu au kuvurugana
 
Hii ni tetesi

Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi

Jamaa yupo Canada now

Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo

Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie

Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe

Utulivu au kuvurugana
Siyo eti HP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
 
Siyo eti HPP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
Screenshot_20260828_003342_Google.jpg
 
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa

Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Kwani ule msululu wa "walinzi wa gereza" alimokuwa hata kabla ya kustaafu walikuwa tayari wameondolewa hata kabla hajaachia nafasi?

Haya mambo ya kudanganyana hayafai kabisa. Mtu unakaa mahali na kuanza kutunga uongo ambao upo wazi kabisa.
 
Siyo eti HPP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
Alikuwa ni mtu wa Imani. Alikuwa tayari kuachana na maisha haya ya duniani yaliyo ya hovyo. Ukiyaona maisha pamoja na Mungu automatically lazima uyadharau haya ya dunia hii mbovu iliyopo sasa. Maisha pamoja na Mungu ni zaidi ya maghorofa na ma V8 ya dunia hii.

Ndio maana ukiangalia kwa makini katika zile speech zake za mwisho mwisho ziliambatana na kutubu kwingi.

binafsi nilikuwa ninamwelewa sana
 
Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo 👏 👏 Nchimbi
Ina maana kawaambia waTanganyika, "mtajijuwa wenyewe ; wapumbavu nyie"?

Hii Canada imetokea wapi; mbona hatuioni?
 
Back
Top Bottom