Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Yanatengenezwa mazingira nini?
Hatari sana hii!
Yanatengenezwa mazingira nini?
yeye mwenyewe ni jasusi mwandamiziInawekanaje aondoke kimyakimya bila tisii kujua?. Ikizingatiwa wanamlinda 24/7
Polepole alikuwa mzembe sana,Hii ni tetesi
Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi
Jamaa yupo Canada now
Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo
Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie
Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe
Utulivu au kuvurugana
Polepole alikuwa spiritual manPolepole alikuwa mzembe sana,
Huwezi kuropoka vile halafu upo, unazunguka tu unavyotaka.
Inawezekanaje?Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo 👏 👏 Nchimbi
Mbona juzi alikuwa kwenye uzinduzi wa bwana la umeme?Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo 👏 👏 Nchimbi
MUNGU ametupa akili pia za kujilinda.Polepole alikuwa spiritual man
tuko duniani kwa kazi maalum. Muda ukifika wa kuondoka tunaondoka, hakuna cha kujilinda. Ukiwa na mahusiano mazuri na Muumba ukikaribia kuondoka unajua.MUNGU ametupa akili pia za kujilinda.
Yeye kutulinda, haimaanishi kwamba sisi tusijilinde.
Hata Yesu mwenyewe aliondoshwa kwanza kukwepa Panga la Farao, kwa watoto wadogo wa kiume.
Nchimbi ni MAFIA ,sidhani kama alifanya yote yale akiwa TZ ,ni bora kwanza akae nje ya nchi hata 2 yrs kwa usalama wake mpaka upepo upite.Au labda alipost akiwa nnje ya nchi alijua lolote linaweza kutokea
“Nami nawaambia ninyi rafiki zangu, msiwaogope hao wauuao mwili, kisha baada ya hayo hawana wawezalo kutenda zaidi."MUNGU ametupa akili pia za kujilinda.
Yeye kutulinda, haimaanishi kwamba sisi tusijilinde.
Hata Yesu mwenyewe aliondoshwa kwanza kukwepa Panga la Farao, kwa watoto wadogo wa kiume.
Bila kujua?? Wale familia walimtonya!!Inawekanaje aondoke kimyakimya bila tisii kujua?. Ikizingatiwa wanamlinda 24/7