Mwenge wa Taifa ukipita unatuchoma akili zetu kabisaaaYeye alikuwa na jukumu la kuwasanua waTanganyika kuhusu yanayoendelea katika nchi yao. Na alitegemea hata kama atatekwa na kuuawa WANANCHI wacharuke kudai ukombozi wa Taifa lao. Aliji-sacrifice kwa ajili ya wengi. Shida waTanganyika wamelogwa. wako kama maiti. waoga wanaotanguliza matumbo mbele.
kutoweshwa kwa Humphrey Polepole kulitosha kuwe sababu ya ukombozi wa Taifa, na vuguvugu hilo lilipaswa lianzie hukohuko ccm (maana tunaamini wamo wazalendo pia) japo wameamua kuwa mandondocha