Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Nchimbi ni Makamu wa Rais mstaafu ni ngumu kupotezwa kizembe labda awekwe kizuizini akipotezwa ccm sio chama cha siasa ni genge.
 
Ikumbukwe nae alikuwa mkuu wa afsa vipenyo kwaiyo lazima ajue kucheza na fisi wenzake wenye njaa
Tunaombea iwe hivyo lakini Hadi saa hii haijathibitishwa , na hiyo hatua sijui aliofanya wakati Gani na Kwa usafiri Gani, na ni mpaka upi aliutumia, kuondokea
 
Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa

Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
 

Attachments

  • 1000024076.jpg
    1000024076.jpg
    45.1 KB · Views: 10
Mwandri,( Naibu Katibu Mkuu CCM), mtumishi wa MUNGU! Tuambie ukweli kuhusu huyu Kondoo wa mungu ,yuko wapi?
 
Kuomba kustaafu au kuachia ngazi ni DHAMBI YA KUMKIMBIZA MTU?.../
NINA IMANI YUPO SALAMA SALMINI...
 
Polepole alishindwa aweze nani?acha kabisa mkuu bora ukose chakula lakini sio kuishi kwa mashaka ni zaidi ya jera
Kabisa, kuhusu aweze nani wapo watatokea wengi tu na wengi tusiowajua wameukimbia mkono wa mauti. Polepole ni kama alikuwa anafanya toba kwa yale mabaya aliyoshiriki kuyajenga, aliona afanye hayo akiwa ndani, kumbe waliomdanganya afanye akiwa ndani ndio waliomuuza.
 
Najiuliza Abdul amekuaje mkuu wa TISS na kile kikundi chake cha wasionavisogo kutoka zanzibar yaani anawapa amri TISS wa serikali
 
Back
Top Bottom