Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Tetesi kuhusu makamu wa rais mfukuzwa Nchimbi hayupo Tanzania

Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa

Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
 

Attachments

  • IMG-20260827-WA0012.jpg
    IMG-20260827-WA0012.jpg
    22.3 KB · Views: 10
Jana Warioba katuambia ukweli ni vile watu hajalichukulia serious hili jambo....Jamaa yupo kizuizini, simu zake amepokonywa hawezi kuwasiliana na yoyote.....Tuombe Mungu asidhurike, japo kwa hofu ya watawala na roho zao wasije wakamdhuru hata kuondoa uhai wake.
kwa hali ilivyo taarifa kama hiyo ni makisio ya kawaida sana , wala hakuhitajiki maelezo ya warioba
 
AMEFUKUZWA UANACHAMA NCHIMBI VILIO WANATOA WAZEE WA KANISA KINA WARIOBA...HATARI SANA
Bwana mdogo kuna vitu vingi sana huvijui,na pia akili ya kutafakari huna.
Ngoja nikupe home work ndogo sana: Je,kwanini TEC wanaweza kuichezea serikali wanavyotaka na hawaguswi ila vitaasisi kama wakina gwajima au Kakobe wao wakileta kamdomo wanashughulikiwa mara moja? kwavile hauna akili najua jibu lako la haraka litakua sababu Katoliki wana waumini wengi😁

Shuleni tulifundishwa sources of government income nyingi sana,ila kuna nyingine huwezi kuambiwa popote pale ni siri za wenyewe.

Njoo nikuuzie akili.
 
Hii ni tetesi

Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi

Jamaa yupo Canada now

Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo

Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie

Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe

Utulivu au kuvurugana
Mkuu atawezaje kutoka bila vyombo vya usalama kufahamu.

Kwa uelewa wangu, bado yuko chini ya ulinzi wa Tiss hadi hapo atakapokabidhi ofisi.

Ikiwa kweli yupo nje ya nchi, lazima atakuwa amepata msaada wa hao wanausalama.
 
Hii ni tetesi

Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi

Jamaa yupo Canada now

Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo

Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie

Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe

Utulivu au kuvurugana
kilichomponza polepole ni kubeza maadau zake. ile siku alipo post ki clip yupo round about ya sanamu la bismin pale posta, nikajua bhaaas, watamdaka tu. waliokuwa nyuma walimpa matumaini hewa kuhusu usalama wake.
 
Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo 👏 👏 Nchimbi
Sema kweli basi aanze kushusha nondo
 
Back
Top Bottom