Mwenge ndo uwo uwo na mara hii mwezi wa 4 umeanza kuwashwa pemba nakuzunguka mikoa mengine mpaka ivi sasa haujamaliza mizungukoIvi Zanzibar wana mwengi nako kweli?
Mwenge ndo uwo uwo na mara hii mwezi wa 4 umeanza kuwashwa pemba nakuzunguka mikoa mengine mpaka ivi sasa haujamaliza mizungukoIvi Zanzibar wana mwengi nako kweli?
Hisia zangu zinanituma kuwa mwenge utakuwa na imani za kishirikina ndio unazunguushwa nnchi nzima kupumbaza wananchiMwenge ndo uwo uwo na mara hii mwezi wa 4 umeanza kuwashwa pemba nakuzunguka mikoa mengine mpaka ivi sasa haujamaliza mizunguko
Bwana mdogo kuna vitu vingi sana huvijui,na pia akili ya kutafakari huna.
Ngoja nikupe home work ndogo sana: Je,kwanini TEC wanaweza kuichezea serikali wanavyotaka na hawaguswi ila vitaasisi kama wakina gwajima au Kakobe wao wakileta kamdomo wanashughulikiwa mara moja? kwavile hauna akili najua jibu lako la haraka litakua sababu Katoliki wana waumini wengi😁
Shuleni tulifundishwa sources of government income nyingi sana,ila kuna nyingine huwezi kuambiwa popote pale ni siri za wenyewe.
Njoo nikuuzie akili.
Hujui kitu🚮TEC HANA JEURI YOYOTE YA KUICHEZEA SERIKALI
WALIKUWA WANAPITISHA VITU KWA MAGENDO PALE BANDARINI NA DP WORLD IMEENDA KUWAPIGA PINI MBONA WAMEUFYATA MKIA??
TEC NI WACHUMIA TUMBO TUH
We ni bwan mdogo sana kwenye hizi anga,hii kitu nimetoka kukuambia jana,leo PM wenu ka confess publically.TEC HANA JEURI YOYOTE YA KUICHEZEA SERIKALI
WALIKUWA WANAPITISHA VITU KWA MAGENDO PALE BANDARINI NA DP WORLD IMEENDA KUWAPIGA PINI MBONA WAMEUFYATA MKIA??
TEC NI WACHUMIA TUMBO TUH
Kama ni kweli, yaani kama zile muvi za Kifilipino umafia mwingi. Maana yake, anatoroka na hao baadhi ya TISS au pesa nyingi inatumika kuwahonga na waliobaki unakuwa msala mkubwa kwao hata kufungwa au kuuawawa!Inawekanaje aondoke kimyakimya bila tisii kujua?. Ikizingatiwa wanamlinda 24/7
Bora tu akae huko huko alikokimbilia. MaCCM hayatabiriki. Yangemuua wallah!Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Kwani wamepotezwa wangapi na kufanyia unyama wa kutisha mpaka sasa ? Unadhani CCM ni chama tena kwa akili yako ?Nchimbi ni Makamu wa Rais mstaafu ni ngumu kupotezwa kizembe labda awekwe kizuizini akipotezwa ccm sio chama cha siasa ni genge.
Hata nyie mna utoto kudanganyana hapa eti mtu mwenye cheo cha VP anatoroka nchiHii ni tetesi
Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi
Jamaa yupo Canada now
Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo
Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie
Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe
Utulivu au kuvurugana
Chochote kinawezekana Afrika kwa sababu waroho wa madaraka wanaweza kukuua au kukubambika kesi ya uasi na uhaini. Ni nani alitegemea mtu mwenye cheo cha balozi kutekwa? Maana yake, wahuni hawana aibu kabisa!Hata nyie mna utoto kudanganyana hapa eti mtu mwenye cheo cha VP anatoroka nchi
Miaka miwili tena!!! Inafaa akae huko mpaka asahau kuongea kiswahiliNchimbi ni MAFIA ,sidhani kama alifanya yote yale akiwa TZ ,ni bora kwanza akae nje ya nchi hata 2 yrs kwa usalama wake mpaka upepo upite.
Kumbuka ya Abdu Jumbe, akija onekana hadharani huyu, sijui!Kama alishasepa ni poa sana maana hawakawii Kum Plpl
Hivi unaweza kuthibitisha kwamba kuna balozi amewahi kutekwa?Chochote kinawezekana Afrika kwa sababu waroho wa madaraka wanaweza kukuua au kukubambika kesi ya uasi na uhaini. Ni nani alitegemea mtu mwenye cheo cha balozi kutekwa? Maana yake, wahuni hawana aibu kabisa!
Taarifa nyingi za Chahali ni shida kuziamini. Anajaribu kuaminisha mambo mazito bila ya ushahidi.Wengine huku wanaojiita majasusi kabisa wanatuambia yuko mahututi chini ya ulinzi. Ukweli ni upi wakuu!?
Sasa butiku ana nguvu gani CCM jamani?
Hiyo kuwa sibling wa Nyerere ndiyo kete pekee ambayo kwake anaamini ina relevance na kumuweka kwenye spotlight.Sasa butiku ana nguvu gani CCM jamani?
Butiku anafosi tu kuwa na nguvu CCM kwasabu ni sibling wa Nyerere.
Butiku ni Oburu Odinga wa Tanzania.
Analazimishaga tu kukubalika admist Kizazi chenye utovu wa nidhamu