Father of All
JF-Expert Member
- May 30, 2026
- 458
- 843
Hii ni tetesiTetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa na kutoeshwa hata kuuawa.
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Siyo eti HP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.Hii ni tetesi
Wewe umefanya research kujua ukweli wa tetesi
Jamaa yupo Canada now
Huyu sio fala kama polepole anaechezea simba sharubu kumbe yupo ununio tu hapo
Kwa mfano pole pole angekuwa smart , wasingemdaka, Hawana akili wala technologie
Nchi is smart i can trust his gestures
HP alikuwa na utoto mwingi , hakujua kuwa mbwa wenzie wapo serious watamla
Katiba mpya lazima ije CCM watachagua wenyewe
Utulivu au kuvurugana
πTetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa na kutoeshwa hata kuuawa.
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Anjela Kizigha anadai una mchunia siku hizi.Siyo eti HPP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
Siyo eti HPP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
Kwani ule msululu wa "walinzi wa gereza" alimokuwa hata kabla ya kustaafu walikuwa tayari wameondolewa hata kabla hajaachia nafasi?Tetesi nilizodaka toka kwenye vyombo vya usalama ni kwama Nchimbi hayupo Tanzania.
Ametoweka kuogopa kutekwa
Wanangu chimbeni na kufuatilia hili ili tuivue nguo CCM.
Is this a factual statement?Jamaa yupo Canada now
Alikuwa ni mtu wa Imani. Alikuwa tayari kuachana na maisha haya ya duniani yaliyo ya hovyo. Ukiyaona maisha pamoja na Mungu automatically lazima uyadharau haya ya dunia hii mbovu iliyopo sasa. Maisha pamoja na Mungu ni zaidi ya maghorofa na ma V8 ya dunia hii.Siyo eti HPP alikuwa na utoto mwingi hapana. Kilichomponza ni wasaliti walimtanguliza mbele akiwaamini.
Yanatengenezwa mazingira nini?Is this a factual statement?
And you know why I am asking.
Ina maana kawaambia waTanganyika, "mtajijuwa wenyewe ; wapumbavu nyie"?Jamaa ni mafia kuwapita,zile ziara zake msoga na zenji ilikuwa kuwapoteza dira, huku nyuma alikuwa anahamisha familia, na barua ilipotoka alikuwa yupo Canada tayari, bravo π π Nchimbi