Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

Yani kumbe kuna uraia pacha huku serikali haina habari?
 
Inamaana Intelijensia yetu imeshindwa kubaini!
 
Ni uongo kwamba madini ya kanda ya ziwa hayawanufaishi wananchi wake?

Mfano Kahama wanasifika kwa mapato ila barabara hapo mjini ni vituko...

Huo ndio uzalendo unaoutaka?
Wewe ulitaka madini yanufaishe mikoa husika tu? Wasio na madini watelekezwe?
 
Kwanini nyie msiuze moja kwa moja huko Apple ? Au hamjui address zao mpitie Google ?

Kama mchimbaji mdogo anapata faida kuwauzia watu wa Rwanda kuliko kuuza Bongo fahamu kuna tatizo na huenda tatizo hilo sio Mnyarwanda bali kikulicho kinguoni mwako...
 
Acheni kupoteza watu maboya,madini yanaibwa DRC.
Wewe utakuwa umetumwa wewe! Ila wazungu sio watu wazuri.Apple anajaribu kujisafisha wakati ananunua madini ya damu
 
MTU anauza pale kwenye maslahi.
Bukoba wahaya wanakatazwa kuwauzia waganda kahawa.
Pemba wanakatazwa kuwauzia wafanyabiashara karafuu.
Hivi Ni kwanini?
 
Sijaona kosa hapo. Maana wanaonunua ni watanzania wanaenda kuuza Rwanda kimagendo. Sasa mwenye kosa ni nani?
 
Huyu kagame kiboko wake alikua JMK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…