Tetesi: Rwanda yanunua madini kwa siri nchini Tanzania na kuyauza tena kwa kampuni ya Apple

Ngojeni tu kuichekea Rwanda kama hajatuanzia M23 yetu. Kagame ni mtu hatari jamani na antumiwa na makampuni waizi wa madini zetu.
 
Msilalamiko. Nchi yenu inakopesheka.
Maza atawatafutia mikono ya WB.
 
Acha umbea ..biasharano chain..wewe unachimba muuzie mnunuzi na mnunuzi nae anaenda kumuuzia mnunuzi mwingine na mnyororo wa thamani huwa hivyo mpk unamfikia mlaji wa mwisho. Kwenye maisha haya huwezi kuhodhi kila kitu
Wewe utakua mnyarwanda labda. Kinachodaiwa hapa madini yanatoka nje ya nchi kwa magendo. Kama wanunuzi wa Rwanda wanakuja kihalali kwenye masoko yetu kununua madini hakuna shida. Tatizo madini yanatoka kimagendo kama mpango wa serikali ya Rwanda. Tanzania serikali haipati ushuru wowote wala hela ya kigeni zozote. Kisha rwanda inauza madini hayo kama yametoka nchini kwao na kupata hela za kigeni wao. Hii ni sawa na wanavyofanya kwa congo. Tena kule kivu wanamiliki migodi kibabe kwa kuweka jeshi lao wakijidai kuna uasi wa M23 kisha wanapeleka rwanda madini kwa ndege ndogo zinazotua maeneo wanayamiliki kijeshi na kupeleka madini rwanda kisha kuyauza nje kama yametoka rwanda.
 
Shida ipo wapi kama wananunua kihalali na kuuza.

Halafu Apple hawana production plant ya kununua madini, hizo shughuli za kutengeneza parts wana outsource.

Na watu wanao watengenezea chips za Apple wanatengeneza na za kampuni zingine pia zinazotengeneza simu, laptop na TV’s.

Kwenye soko la rare metals Tanzania ni mchezaji mdogo sana hana impact duniani.
 
Kizimkazi mwenyewe hayupo Yuko majuu anapiga misele tu uko. Taifa la Tanganyika liko wazi pakubwa.




KAZI ni kipimo Cha utu
 
Kwamba Apple wakafate dhahabu hapo Rwanda wakati huko Marekani ipo yakutosha tu
 
Serikali ya Tz inajua kupiga marufuku tu ya bidhaa za Tz. Ilishindwa kuwasiliana na apple?
 
Kesho jumatano petrol, diesel na mafuta ya taa yatapaa ama yatashuka bei?
 
Nilitamani nimpate mununuzi nimuulize. Ijulikane pia Kagame ana mkono mrefu sana. Hivyo natakiwa kuwa makini.
kiukweli hapo lazima kuna maslahi makubwa kwa soko la Rwanda.
akuna sababu ya kurisk mzigo wako uliopata kwa tabu na gharama kuuza kinyemela nje.
 
Uzi upo wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha umbea ..biasharano chain..wewe unachimba muuzie mnunuzi na mnunuzi nae anaenda kumuuzia mnunuzi mwingine na mnyororo wa thamani huwa hivyo mpk unamfikia mlaji wa mwisho. Kwenye maisha haya huwezi kuhodhi kila kitu
Kwa nini iwe kimagendo? Huoni Tanzania inapoteza kodi yake?
 
Wewe utakuwa mnyarwanda, ni lini Tanzania inaruhusu uraia pacha?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…