Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
We kweli mgonjwa. Nashangaa unajituhumu elimu ya Chuo Kikuu. Kwa waliokuwa hawaelewi, kuna vilaza kibao waliopitia Mzumbe. Mmoja wao ni wewe uliyeishia kufundishwa na watu wanaojifunza kufundisha higher learning na bado unajipiga piga kifua. Loser.
ok,me nimesoma UDSM na Westminster.....sooo are we on the same level?
uongo mtupuuuu wewe ni zao la shule za kata, huwez kujilinganisha na mimi? ,,lazma ukubali kwamba udsm wanachukua mpaka three, ushahidi ninao marafiki zangu niliosoma nao wapo hapo udsm kubali kataa huo ndo ukweli
SIKILIZA DADAYANGU CHROMIUM , MUCCoBS KUNA KOZI ZA CERTIFICATE KWA HIO HAO MATUTORIAL NDIO WANATUMIKA KUFUNDISHA KOZI ZA CERTIFICATE, TUTORIAL HAFUNDISHI DEGREE, LABDA NIKUULIZE SWALI UNAFIKIRI MUCCoBS HAMA WATU WENYE PhD(DR) NA MAPROFESA?
hamna m2 ambaye hakua na ndoto zakufika udsm,xema 2 ndo mambo yakaenda vbaya hlo lazma mkubal,nisawa na wanafunz wa 4m1 kila m2 hua anapenda science lakin mambo yakiwashnda ndo wa2 wa arts wananza kujitokeza xo v2 vngne 2we 2nakubali jaman
SIKILIZA DADAYANGU CHROMIUM , MUCCoBS KUNA KOZI ZA CERTIFICATE KWA HIO HAO MATUTORIAL NDIO WANATUMIKA KUFUNDISHA KOZI ZA CERTIFICATE, TUTORIAL HAFUNDISHI DEGREE, LABDA NIKUULIZE SWALI UNAFIKIRI MUCCoBS HAMA WATU WENYE PhD(DR) NA MAPROFESA?
nina jamaa angu anaitwa imma alikua kilaza wa vilaza na ana degree moja tu but cha kushangaza kuna cku nlimtembelea hapo ushirika nkamkuta eti anafundisha wanafunzi wa mwaka wa 3..nikajikuta nimeishiwa nguvu.yani TA anapga pindi tena anawapga mwaka wa 3,nikagundua hata elimu ya hapo ni ujinga mtupu.
Acheni kuletena sifa za kihaya na kiluo hapa mtandaoni.....eti ngw'e ngw'e ngw'eeee sijui Westminster mara mwingine Wasida, tutaamini vipi? na mwingine akitokea aseme Stanford University how can you prove? Kwa dalili hizi mnajipambanua kuwa hamjaelimika labda mmesoma tu lakini kuelimika 'NO'
Limbukeni wa Elimu..
Nimesoma DIT and now Waseda university Japan.... unadhani wote ni level
yako?
moja ya strategic plan ya UDSM ilikuwa kupunguza udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza na kuongeza udahili ya shahada ya pili na zaidi, au kifupi ni kuwa mpango wa serikari ni kuwa UDSM kwa baadae wajikite kwenye udahili wa wanafunzi wa masters na zaidi na kupunguza wanafunzi wa degree ya kwanza.
source; Soma startegic plans za udsm
Tumesoma kwenye vyuo vyenye hadhi na sifa kuliko hiyo UDSM unayojivunia wewe.
Kipapa wewe,,sifa zipi ambazo udsm wanazo ambazo zinapishana na za vyuo vingine,,,,,,tigo ww,,....think big,,,m2 mwnywe apo kozi unayo/ulosoma ud ni Baed,,,,hovyoooo
Inamaana chuo kikiwa kichanga ndo kiboronge? na ni ndoto kukipita UDSM, manake wao wanachofanya sasa hivi ni kukiboresha chuo na ndo maana wamepunguza 30% hiyo ni moja ya mikakati. nadhani umenipata.ni ukosefu wa akili kuringanisha udsm na chuo kichanga kama udom,linganisha udsm na vyuo kama makerere ,nairob universty,vyuo hivi vya kenya na uganda vimetuacha mbali sana.
haitashangaza miaka michache udsm kupitwa kwa mbali na vyuo kama udom,saut,mzumbe.unakuta kuanzia prof,tut assi,wanafunzi wanatumia mda mwingi na nguvu nyingi kukiponda udom na wao kujiona ndio bora.
tunaitaji publications nyingi na zenye manufaa kwa nchi toka kwa maprof & dokta toka udsm na si kuendesha majungu kwa chuo kichanga ambacho bado kinakuwa kama udom.
wadanganye hao hao unadhani hatukujui! lengo hapa ni kujaribu kujua nn kiini hasa
chuo gan wewe tanzania chenye hadhi zaid ya udsm. achani chuki za kijinga. watoto wenye akili wapo udsm, muhimbili na mzumbe wachache. najua wengi walipenda kusoma udsm ila mlikosa hyo nafas ndo mana mnakiandama sn hcho chuo