Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

Tetesi:udsm yapunguza udahili kwa zaidi ya 30% katka mwaka wa masomo 2013/14.

We kweli mgonjwa. Nashangaa unajituhumu elimu ya Chuo Kikuu. Kwa waliokuwa hawaelewi, kuna vilaza kibao waliopitia Mzumbe. Mmoja wao ni wewe uliyeishia kufundishwa na watu wanaojifunza kufundisha higher learning na bado unajipiga piga kifua. Loser.

SIKILIZA DADAYANGU CHROMIUM , MUCCoBS KUNA KOZI ZA CERTIFICATE KWA HIO HAO MATUTORIAL NDIO WANATUMIKA KUFUNDISHA KOZI ZA CERTIFICATE, TUTORIAL HAFUNDISHI DEGREE, LABDA NIKUULIZE SWALI UNAFIKIRI MUCCoBS HAMA WATU WENYE PhD(DR) NA MAPROFESA?
 
ok,me nimesoma UDSM na Westminster.....sooo are we on the same level?

Acheni kuletena sifa za kihaya na kiluo hapa mtandaoni.....eti ngw'e ngw'e ngw'eeee sijui Westminster mara mwingine Wasida, tutaamini vipi? na mwingine akitokea aseme Stanford University how can you prove? Kwa dalili hizi mnajipambanua kuwa hamjaelimika labda mmesoma tu lakini kuelimika 'NO'
 
uongo mtupuuuu wewe ni zao la shule za kata, huwez kujilinganisha na mimi? ,,lazma ukubali kwamba udsm wanachukua mpaka three, ushahidi ninao marafiki zangu niliosoma nao wapo hapo udsm kubali kataa huo ndo ukweli

asa wewe ulyesoma special school mbona uliambulia kupata dv 3 na ukaishia kusoma ushirika lichuo ambalo ukienda hata kule mtwara wananchi wa kule hawalitambui?nimegundua unasumbuliwa na frustration kwamba ulikua na ndoto za kufika mjengoni cku moja bt umejikuta ndoto zako hazijatimia basi umeamua kutolea hasira zako hapo jukwaani.eti una one afu uwe muccobs?ckia narudia kukuambia tena kijana,wenye one zetu za ukweli tuko udsm,sua{main cumpus},mzumbe,muhmbili na udom.vyuo vingne vinachukua makapi tu..i have my friends wamesoma hzo unazoziita special schools,tena wamelabua one kali sana.

vijana walosoma special schools huwa wako very smart na huwez kuwakuta wanasoma vyuo uchwara kama ushirika.me nina wasiwasi wewe umesoma elimu ya ngumbaru na hapo ushirika ndo stahili yako kabisa.pole sana kwa kuwa kiazi dogo.
 
SIKILIZA DADAYANGU CHROMIUM , MUCCoBS KUNA KOZI ZA CERTIFICATE KWA HIO HAO MATUTORIAL NDIO WANATUMIKA KUFUNDISHA KOZI ZA CERTIFICATE, TUTORIAL HAFUNDISHI DEGREE, LABDA NIKUULIZE SWALI UNAFIKIRI MUCCoBS HAMA WATU WENYE PhD(DR) NA MAPROFESA?

nina jamaa angu anaitwa imma alikua kilaza wa vilaza na ana degree moja tu but cha kushangaza kuna cku nlimtembelea hapo ushirika nkamkuta eti anafundisha wanafunzi wa mwaka wa 3..nikajikuta nimeishiwa nguvu.yani TA anapga pindi tena anawapga mwaka wa 3,nikagundua hata elimu ya hapo ni ujinga mtupu.
 
hamna m2 ambaye hakua na ndoto zakufika udsm,xema 2 ndo mambo yakaenda vbaya hlo lazma mkubal,nisawa na wanafunz wa 4m1 kila m2 hua anapenda science lakin mambo yakiwashnda ndo wa2 wa arts wananza kujitokeza xo v2 vngne 2we 2nakubali jaman

aise mkuu unajua nini,mi nlikuwa najua chuo kimoja tu udsm,lakn kumbe kuna vingne ,mzumbe,ifm,muhas,hiyo imesababisha watu kudhan chuo ni udsm tu.mfano ukimwambia mtu nasoma chuo wazaz wetu wengne na sisi wanajua mliman,thts why nimeweka chaguo la pili ud,la kwanza mzumbe,tatu mucobs full stop,ila nlikuwa napenda chuo fulani na course yake,lakn kutokana na ndugu zangu wame crame vyuo vitatu tu nkaona ili wajue npo university bora nijaze hivyo tu,sio college au institute .sijaandika kuponda vyuo hapa.
 
SIKILIZA DADAYANGU CHROMIUM , MUCCoBS KUNA KOZI ZA CERTIFICATE KWA HIO HAO MATUTORIAL NDIO WANATUMIKA KUFUNDISHA KOZI ZA CERTIFICATE, TUTORIAL HAFUNDISHI DEGREE, LABDA NIKUULIZE SWALI UNAFIKIRI MUCCoBS HAMA WATU WENYE PhD(DR) NA MAPROFESA?

Wapo wachache kama jamaa yangu Magigi. Besides, I dont expect you to know more than I got from him personally. Endelea na ubishi wako kijana. Ushirika is the best in Tanzania. Satisfied?
 
nina jamaa angu anaitwa imma alikua kilaza wa vilaza na ana degree moja tu but cha kushangaza kuna cku nlimtembelea hapo ushirika nkamkuta eti anafundisha wanafunzi wa mwaka wa 3..nikajikuta nimeishiwa nguvu.yani TA anapga pindi tena anawapga mwaka wa 3,nikagundua hata elimu ya hapo ni ujinga mtupu.

Unadhani huyu dogo hajui? He knows very well. Course nyingi pale zimeshikwa na TAs na wenye PhD wachache waliopo wako kwenye Administrative posts mfano Bee. Napajua vizuri sana pale mahali.

Kwa hivyo huwezi kuwa na ufaulu wa maana ukaenda Ushirika. Kelele nyingine ni kujibaraguza tu mtu asiridhishe kuwa na yeye yumo.
 
kuhusu udsm kuchukua mpaka div 3 nitaamin mpaka nipate nafasi pale kwa BAED kwakuwa ni first choice yang ila nina cut off point 5.5
 
povu la nnn sasa?.....seems like u don`t even budget ua time,ndo maana unakurupukia vitu usivojua hata chanzo chake
Acheni kuletena sifa za kihaya na kiluo hapa mtandaoni.....eti ngw'e ngw'e ngw'eeee sijui Westminster mara mwingine Wasida, tutaamini vipi? na mwingine akitokea aseme Stanford University how can you prove? Kwa dalili hizi mnajipambanua kuwa hamjaelimika labda mmesoma tu lakini kuelimika 'NO'
 
nawdayz kuingia udsm siyo lazima usome vipaji au shule kubwa watoto 2lioxoma shule za kata tunagadhabu na ndo maana 2po weng hapo udsm!
 
Sahv tupo mfumo wa tcu issue ni competition ya course uliochagua
Survival of the fittest
 
Kuna watu wameamua kuongelea mambo yao binafsi haijalishi umesoma chuo gani ila ni kazi gani umepata kulingana elimu yako kwa uwezo wako, jamaa kaweka thread ichanganueni sio issue personal, siku hizi watu wanatoka kwenye maisha kwa vyuo vya floor moja tu lol
 
moja ya strategic plan ya UDSM ilikuwa kupunguza udahili wa wanafunzi wa shahada ya kwanza na kuongeza udahili ya shahada ya pili na zaidi, au kifupi ni kuwa mpango wa serikari ni kuwa UDSM kwa baadae wajikite kwenye udahili wa wanafunzi wa masters na zaidi na kupunguza wanafunzi wa degree ya kwanza.

source; Soma startegic plans za udsm

At least this seems a logical reasoning for the prevailing circumstance. Thanks
 
Tumesoma kwenye vyuo vyenye hadhi na sifa kuliko hiyo UDSM unayojivunia wewe.

chuo gan wewe tanzania chenye hadhi zaid ya udsm. achani chuki za kijinga. watoto wenye akili wapo udsm, muhimbili na mzumbe wachache. najua wengi walipenda kusoma udsm ila mlikosa hyo nafas ndo mana mnakiandama sn hcho chuo
 
Kipapa wewe,,sifa zipi ambazo udsm wanazo ambazo zinapishana na za vyuo vingine,,,,,,tigo ww,,....think big,,,m2 mwnywe apo kozi unayo/ulosoma ud ni Baed,,,,hovyoooo

we ------- kweli, toa ukicheche wako hapa. ukitaka kujua hizo sifa waulize TCU wanaorank vyuo watakwambia ni kwa nini wameweka UDSM ni no.1. Hata kama nimesoma BAed nimeipata kwenye Tanzania's no.1 University, "The Green Hill Of Knowledge". wewe meza, tema ukweli ndo huo.
 
ni ukosefu wa akili kuringanisha udsm na chuo kichanga kama udom,linganisha udsm na vyuo kama makerere ,nairob universty,vyuo hivi vya kenya na uganda vimetuacha mbali sana.

haitashangaza miaka michache udsm kupitwa kwa mbali na vyuo kama udom,saut,mzumbe.unakuta kuanzia prof,tut assi,wanafunzi wanatumia mda mwingi na nguvu nyingi kukiponda udom na wao kujiona ndio bora.
tunaitaji publications nyingi na zenye manufaa kwa nchi toka kwa maprof & dokta toka udsm na si kuendesha majungu kwa chuo kichanga ambacho bado kinakuwa kama udom.
Inamaana chuo kikiwa kichanga ndo kiboronge? na ni ndoto kukipita UDSM, manake wao wanachofanya sasa hivi ni kukiboresha chuo na ndo maana wamepunguza 30% hiyo ni moja ya mikakati. nadhani umenipata.
 
U

chuo gan wewe tanzania chenye hadhi zaid ya udsm. achani chuki za kijinga. watoto wenye akili wapo udsm, muhimbili na mzumbe wachache. najua wengi walipenda kusoma udsm ila mlikosa hyo nafas ndo mana mnakiandama sn hcho chuo

hapo kwenye green..
 
Back
Top Bottom