Tetesi za kuuliwa Netanyahu zazidi kushika kasi

Kama kiongozi mkuu wa nchi ameuawa mwanzoni mwa mashambulizi ya kijeshi dhidi ya Iran, ni wazi kiongozi mkuu wa Israel yuko kwenye target 🎯 kifo ni lazima kama walivyomfanya Ayatollah.... Inaweza kuwa sasa au hata siku za usoni.
 
Maneno ya vijiweni!!
 
Nani kasema hafi?

Tunachowaambia acheni propaganda za kijinga

Na Leo Netanyau ana press nyingine

Mnataman sana afe kama Gaidi Ayatollah

Iran Haina uwezo wakuua hata balozi wa nyumba kumi wa Israel
Kwamba Netanyahu sio gaidi? Kwako gaidi ni mtu gani? Upofu wa akili ni mzigo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…