M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,825
- 20,941
Ishu inaendelea kuwa serious....It seems kuna majasusi wa Mossad wanaofanya kazi kwa niaba ya Iran wamemuuza
Last public appearance yake ilikua alivyoenda kutembelea sehemu palipoathirika na makombora ya Iran inasemekana walivyorusha lile tukio live na Iran wakamueliminate masaa machache mbele.
Kulingana na fox news zinadai alilengwa akiwa Negev ambapo humo kuna eneo la siri la underground la kuwaficha viongozi wa Israel
Kinacholeta maswali ni kuwa, tovuti ya waziri mkuu wa Israel ilipost ikiwaasa wananchi kuwa watulivu huku wakiendelea kutafuta mawasiliano na alipo waziri mkuu...Soon walifuta ile post[emoji44]
This marked Prime Minister Benjamin Netanyahu's last public appearance.
He was allegedly taken out by Iranian Missiles immediately after this.
His office is urging citizens to calm down and wait for official communication. Their efforts to establish contact since this day have failed.
Netanyahu is DEAD
View: https://x.com/i/status/2032542518181572943UPDATE:14 march 2026:Netanyahu ashindwa kutokea kwenye kikao cha baraza la mawaziri cha kujadili hali ya kidharura ya usalama
⛔️The Confirmation ⛔️⛔️
🚨BREAKING: NETANYAHU MISSING AT ISRAELI SECURITY BRIEFING FOR THE FIRST TIME⚠️‼️
💥Israel's Defense Minister Israel Katz Led Today's Security Briefing- Bibi Was Noticeably Absent‼️
💥Rumors have been swirling that Netanyahu was killed in a March 9th strike.
View attachment 3557705View attachment 3557706
Idadi ya makombora yaliyo rushwa yana uhusiano na huko kurusha hovyo.Unajua mpaka sasa Iran imerusha makombora mangapi?
Vipi akija Kiongozi mwingine mwenye kupenda mauaji kuliko nentanyahuHuyo huenda kweli kaliwa kichwa na ni ndio maana wamejibu hizo taarifa ni "UNCORFIRMED " badala ya kukanusa kuwa haujauwawa.
Huenda Mungu aliruhusu hii vita ili Netanyau auwawe na unwagaji damu ukome katika hilo eneo
US akishajua nguvu na uwezo wa Jeshi la Iran, atakuwa mpole ghafla na kuomba mazungumzo vita iishe
Muda utasema.
Hili jibu 🤣Idadi ya makombora yaliyo rushwa yana uhusiano na huko kurusha hovyo.
Wao ndo watengeneza hayo makombora na wao ndo wanajua jinsi yanavyo fanya kazi na jinsi ya kuyatumia hivyo acha ujuaji.
Kama sio kweliNyinyi kila siku ni tetesi tu.
Sasa umeuliza google then ukacopy na kupaste😂😂. Kuna matukio kadhaa yanayodhihirisha Metanyahu is gone!
Kuna namna kibao ya kufanya confirmation, too bad mimi si shabiki na yoyote anayepigwa au anayeuawa ni poa tu. Hapo ukiangalia kuna references za Reuters na Al-Jazeera unless kama na wao tukiamua kuwatilia mashtaka. Kikubwa ambacho huwa naangalia(though anyone can lie) ni chanzo na kujiuliza kama hicho chombo ni credible kwa kiasi gani. Kwa wale wenye ushabiki kuji-console kwa what could be hoax fabrications ni ujinga uliopitiliza na kufa kwa mtu wa calibre ya Netanyahu hakuwezi kufichika na kila chombo cha habari duniani kitatamani kuwa ndiyo cha kwanza kurusha habari hizo same na akifa/akiuawa Trump, those are very big, powerful and influential personalities on a global scale. Mtu yoyote mwenye huo ushahidi hata kama ni ndugu anaweza kuuza habari hiyo kwa pesa ndefu kama anaweza kuambatanisha na ushahidi.Kama sio kweli
Sasa umeuliza google then ukacopy na kupaste😂😂. Kuna matukio kadhaa yanayodhihirisha Metanyahu is gone!
-footage iliyokuwa released ya Netanyahu akitoa speech ile ni AI tena ina makosa kibao kuna kipengelele anaonekana ana vidole 6😂
-Bunker iliyokuwa inawahifadhi security officer ililipuliwa baada ya location ya netanyahu kujulikana alivyokwenda kutembelea athari zilizotokea na hajaonekana tena. Sio kawaida yake Netanyahu kuwa offline mda mrefu hivi
Kasome Quran na sunna Muhammad alikuwa shogaNaona unamtetea shoga yako NYAU
Maana wote mmekutana wazee wa LGBTQ
HIyo ya kucopy na kupaste ndio staili yako ya kujibu hoja? Anyway Netanyahu is Down Time Will TellKuna namna kibao ya kufanya confirmation, too bad mimi si shabiki na yoyote anayepigwa au anayeuawa ni poa tu. Hapo ukiangalia kuna references za Reuters na Al-Jazeera unless kama na wao tukiamua kuwatilia mashtaka. Kikubwa ambacho huwa naangalia(though anyone can lie) ni chanzo na kujiuliza kama hicho chombo ni credible kwa kiasi gani. Kwa wale wenye ushabiki kuji-console kwa what could be hoax fabrications ni ujinga uliopitiliza na kufa kwa mtu wa calibre ya Netanyahu hakuwezi kufichika na kila chombo cha habari duniani kitatamani kuwa ndiyo cha kwanza kurusha habari hizo same na akifa/akiuawa Trump, those are very big, powerful and influential personalities on a global scale. Mtu yoyote mwenye huo ushahidi hata kama ni ndugu anaweza kuuza habari hiyo kwa pesa ndefu kama anaweza kuambatanisha na ushahidi.View attachment 3558036View attachment 3558037
It's more likely kwa Ayatollah Mojtaba Khamenei kuwa amedanja zaidi ya BB Netanyahu though I'm not disputing any possibilities.HIyo ya kucopy na kupaste ndio staili yako ya kujibu hoja? Anyway Netanyahu is Down Time Will Tell