Donald william
Member
- Feb 8, 2013
- 19
- 1
ofcoz kuropoka ropoka xo mpango...xubrn wnymamlaka hucka watangaze ndo wanaoropoka waanze
Baraza la kikristo limekwisha toa Matokeo ya Form 4.Mama mwanaheri Ndeluchako kazi nzuri sana.Nenda kamwone Pengo akupe utakatifu kabisa.
Wewe mwomgo, usiwahangaishe watu. Katika Jamii forum tunahitaji watu wastaarabu. Kama wewe ni kichaa anayefurahia kuchanganya akili za watu na maisha yao, ni bora ujitoe kwenye mtandao huu.
WANA JF, SHERIA YETU NI KUWA; MTU YEYOTE ASTOE HABARI YOYOTE AMBAYO HAJAIFANYIA UHAKIKI NA KUPATA UKWELI KAMILI; WALA MTU YEYOTE ASITOE HABARI AMBAYO SI KAMILI.
UWONGO NA UBABAISHAJI KWENYE JF HAUKUBARIKI. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HUWA TAYARI PALE TU WAZIRI WA ELIMU ISIYOKUWA NA MITAALA ATAKAPOTANGAZA.
WANA JF, TUWE WAKWELI NA WAADILIFU.
kule Tanga zumbemkuu ina maana chief au mfalme, naona wewe mfalme wa wajinga. Nakushauri ujiite jina lako halisi la dulla, hakuna zumbemkuu anayeweza kuwa mpuuzi kiasi hiki.mfumo kristo unatumaliza,
Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
UPDATE:
Jan 08, 2013