Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Haya hayaman mimii:A S cry::A S cry::A S cry::A S cry: hivi kwel matokeo yanakaribia kutoka eeh eeh eh iiiiiiii uuwiiiiii
 
kumbuka kwamba mwanasiasa ndo kashikilia ufunguo wako wa matokeo.msomi usijipangie tarehe mpaka apende yeye ndio atatoa..yangu ni mijicho leo tayar tar 09:target:
 
itabidi wamiliki wa huu mtandao waongeze kipengele cha level ya akili kwa anyejiunga na JF ili wapimwe uwezo wao wa kufikiri usikute jamaa anaenda kwa stimu za bange
A%20S-smoking.gif

  • :majani7:
 
Wewe mwomgo, usiwahangaishe watu. Katika Jamii forum tunahitaji watu wastaarabu. Kama wewe ni kichaa anayefurahia kuchanganya akili za watu na maisha yao, ni bora ujitoe kwenye mtandao huu.

WANA JF, SHERIA YETU NI KUWA; MTU YEYOTE ASTOE HABARI YOYOTE AMBAYO HAJAIFANYIA UHAKIKI NA KUPATA UKWELI KAMILI; WALA MTU YEYOTE ASITOE HABARI AMBAYO SI KAMILI.

UWONGO NA UBABAISHAJI KWENYE JF HAUKUBARIKI. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HUWA TAYARI PALE TU WAZIRI WA ELIMU ISIYOKUWA NA MITAALA ATAKAPOTANGAZA.

WANA JF, TUWE WAKWELI NA WAADILIFU.
 
Eny mnaoshoboka ovyo kwenye page mnaboa wa2 tulieni mpaka yatakapokuwa hewani ndo uropoke kwani mna uchungu xana kupita ss au? acheni utoto mshakua tayar
 
ofcoz kuropoka ropoka xo mpango...xubrn wnymamlaka hucka watangaze ndo wanaoropoka waanze
 
ofcoz kuropoka ropoka xo mpango...xubrn wnymamlaka hucka watangaze ndo wanaoropoka waanze

Nini hicho ulicho andika.....? Lugha gani hiyo uliyoandika.....Kama na wewe unasubiria matokeo basi andika maumivu....Kinyaaa hiki..
 
Achen uwongo hakuna kufelishwa eti kisa nyinyi ni waislam,tafuteni mbinu mbadala kwann shule za kislamu mnafel,mbona vitu viko waz.......hata waislam wengne kukimbilia shule za kkristo wakjua wanatafuta elimu bora c bora elimu....achen kuchochea chuk baina yetu,kakaen mtafute suluhsho la matatzo yenu.........hatutaendelea mbele kwa mtndo huu,mambo mengne hayatak udini,...2elimike bas......
 
hivi kumbe kunawatu wanajiunga na mitandao ya kijamii ili kutukana wenzao halafu wanajiita "great thinkers", haya ni matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii, mnasubiri m2 aiweke thread yake muiponde heti kilaza. hebu tubadilike wana jf!!
 
Baraza la kikristo limekwisha toa Matokeo ya Form 4.Mama mwanaheri Ndeluchako kazi nzuri sana.Nenda kamwone Pengo akupe utakatifu kabisa.
 
Jamani ni kweli Baraza la kikristo limekwisha tangaza Matokeo?.Manake Mama mwanaheri Ndelichako kazi anajua.Na safari hii Pengo lazima ampe utakatifu
 
Baraza la kikristo limekwisha toa Matokeo ya Form 4.Mama mwanaheri Ndeluchako kazi nzuri sana.Nenda kamwone Pengo akupe utakatifu kabisa.

Umenichekesha mkuu khaa....Mara nyingi vitu unavyo andika huwa ni vichekesho.....

Ni kama nikisikiliza Radio Iman huwa kama nasikiliza Radio ya vichekesho...Hafu nyie jamaa mmebobea kwa vichekesho kweli.....Sasa hata shule zenu si huwa walimu wanatoa vichekesho darasani badala ya kufundisha....Ndo maana matokea yenu pia yanakuwa vichekesho....

Nimecheka kweli dahh..
 
Tuachage na utani seriously maswala ya necta na udini ni vi2 2tofauti mi nashangaa wa2 wanalalamika wakati mtaani kuna waislam wanakiri kuwa walikaririshwa kuwa wanachakachuliwa hv kweli necta ya form 4 watajuaje kuwa wewe ni dini fulani kwenye mark matokeo?Maswala ya dini syo ya msingi utavuna ulicho panda 2.
 
Wewe mwomgo, usiwahangaishe watu. Katika Jamii forum tunahitaji watu wastaarabu. Kama wewe ni kichaa anayefurahia kuchanganya akili za watu na maisha yao, ni bora ujitoe kwenye mtandao huu.

WANA JF, SHERIA YETU NI KUWA; MTU YEYOTE ASTOE HABARI YOYOTE AMBAYO HAJAIFANYIA UHAKIKI NA KUPATA UKWELI KAMILI; WALA MTU YEYOTE ASITOE HABARI AMBAYO SI KAMILI.

UWONGO NA UBABAISHAJI KWENYE JF HAUKUBARIKI. MATOKEO YA KIDATO CHA NNE HUWA TAYARI PALE TU WAZIRI WA ELIMU ISIYOKUWA NA MITAALA ATAKAPOTANGAZA.

WANA JF, TUWE WAKWELI NA WAADILIFU.

wewe unaijua mitaala?
 
Habari wana JF,

kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.

UPDATE:
Jan 08, 2013

uwongo, msidanganyike. Mimi nafanya kazi necta, matokeo bado ni confidential hivo muda ukifika tutawatangazia. Acheni kudanganyana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom