maasai prince
New Member
- Feb 8, 2013
- 1
- 2
jaman vp mbona jana nimesikia kwamba matokeo yametangazwa na wizara ilikuwa inashughulika kuweka kwa mtandao bt hamna ki2 mpaka sasa!!vp jaman?
uwongo, msidanganyike. Mimi nafanya kazi necta, matokeo bado ni confidential hivo muda ukifika tutawatangazia. Acheni kudanganyana
Na somo watakalofeli sana ni Elimu ya Dini ya Kiislamu.
Unafanya kazi NECTA ipi ndugu yangu, labda unafanya kazi za ufagizi hapo wala haya mabo huyajui kabisa ila kama unafanya hapo utakuwa haupo pamoja na mabosi wakouwongo, msidanganyike. Mimi nafanya kazi necta, matokeo bado ni confidential hivo muda ukifika tutawatangazia. Acheni kudanganyana
Habari wana JF,
kwa tetesi nilizopata matokeo yatakuwa displayed tar 08/02.
UPDATE:
Jan 08, 2013
Hivi kuna watu wanasubiri miujiza?
teh teh teh teh!kule Tanga zumbemkuu ina maana chief au mfalme, naona wewe mfalme wa wajinga. Nakushauri ujiite jina lako halisi la dulla, hakuna zumbemkuu anayeweza kuwa mpuuzi kiasi hiki.
Jamani ni kweli Baraza la kikristo limekwisha tangaza Matokeo?.Manake Mama mwanaheri Ndelichako kazi anajua.Na safari hii Pengo lazima ampe utakatifu
kule Tanga zumbemkuu ina maana chief au mfalme, naona wewe mfalme wa wajinga. Nakushauri ujiite jina lako halisi la dulla, hakuna zumbemkuu anayeweza kuwa mpuuzi kiasi hiki.
sasa tuambie kitu cha uwakika ni kuanzia jana leo mpaka tarehe ngapi kutakuwa na uwakika wa matokeo!!?
haya basi jana hadi leo tare 9/02 hamjamaliza?