Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Redio gani na media ipi? Tuwe wapole yatakuja tuuuuu
 
jaman vp mbona jana nimesikia kwamba matokeo yametangazwa na wizara ilikuwa inashughulika kuweka kwa mtandao bt hamna ki2 mpaka sasa!!vp jaman?

We mtoto tulia haraka ya nini? Keep patience, all will come well when time comes!
 
Jaman tufikirien mara 7 hiv mnasema kuhusu udin kwenye NECTA wakati katika book lat yako kuna namba ya mtainiwa na ya shule!!! Sasa unafikiri baraza la usaishaji litapata wakati wa kuchakachua matokeo eti kisa wewe ni muislam. Embu tuache tenda dhambi za kujitakia bhana
 
uwongo, msidanganyike. Mimi nafanya kazi necta, matokeo bado ni confidential hivo muda ukifika tutawatangazia. Acheni kudanganyana


sasa tuambie kitu cha uwakika ni kuanzia jana leo mpaka tarehe ngapi kutakuwa na uwakika wa matokeo!!?
 
Huo ni uvivu wa kufikiri huo ! Why should we blame others for our own failures ?
Tuachei kutafuta sababu tukubaliane na ukweli ! Kama ww ni form 4 utakachopata Mshukuru Mungu kwan ndo maandalizi yako yalifikia pale na hakuna kingne zaidi !!
 
uwongo, msidanganyike. Mimi nafanya kazi necta, matokeo bado ni confidential hivo muda ukifika tutawatangazia. Acheni kudanganyana
Unafanya kazi NECTA ipi ndugu yangu, labda unafanya kazi za ufagizi hapo wala haya mabo huyajui kabisa ila kama unafanya hapo utakuwa haupo pamoja na mabosi wako
angalia hizi statement toka NECTA kupitia FBP- juzi 07/02/2013 walisema "Mambo yakienda vizuri kama tulivyopanga, matokeo tutayatoa kesho. Kwa kudokezea ni kwamba wasichana wameng'ara sana kwenye mitihani ya mwaka 2012.
Tuombe Mungu kila kitu kiende kama tulivyopanga"
na jana 08/02/2013 walisema " Habari za mchana. Shughuli ya kuingiza matokeo kwenye tovuti yetu bado inaendelea na kwa kiasi kikubwa imekamilika. Kama alivyosema msemaji wetu, tunajitahidi watahiniwa wa kidato cha nne mwaka 2012 waweze kupata matokeo yao leo hii. Mchana mwema." sasa wewe unafanya kazi NECTA ya nyumbani kwenu au kwa mjomba wako nini? https://www.facebook.com/pages/National-Examination-Council-of-Tanzania-NECTA/101411643286736
 
Hawa ndugu zetu kwanza elimu dunia sio utamaduni wao,sasa wanalalama nini wakati first priority yao wengi ni Madrasa,tilieni mkazo masomo mtafaulu tu,acheni umburula.
 
Hivi kuna watu wanasubiri miujiza?

Jamani Matokeo bado hayajatoka, yangekuwa tayari si mngewaona hawa ndugu zetu wakiandamana kuwa wamefelishwa makusudi. Wakati wenzao wanapiga book kujiandaa na exam wao wanakaa kujipanga namna watakavyoandamana matokeo yakitoka. Ama kweli munyaaaazi mungu ana watu.
 
kule Tanga zumbemkuu ina maana chief au mfalme, naona wewe mfalme wa wajinga. Nakushauri ujiite jina lako halisi la dulla, hakuna zumbemkuu anayeweza kuwa mpuuzi kiasi hiki.
teh teh teh teh!
hutaki kusikia ukweli, mou na necta ni mali za wakatoliki, hehehehehe
 
Jamani ni kweli Baraza la kikristo limekwisha tangaza Matokeo?.Manake Mama mwanaheri Ndelichako kazi anajua.Na safari hii Pengo lazima ampe utakatifu

Ha ha ha ha ha! Mkuu Wingu umenichekesha sana.
 
Last edited by a moderator:
kule Tanga zumbemkuu ina maana chief au mfalme, naona wewe mfalme wa wajinga. Nakushauri ujiite jina lako halisi la dulla, hakuna zumbemkuu anayeweza kuwa mpuuzi kiasi hiki.

hahahahahahahahaha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom