Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.

dah hahahahah umemuweza huyu jamaa anaesema kuwa anafanya kaz NECTA
 
Tetesi: matokea yamezuiliwa hadi hapo serikali itakapotoa tamko rasmi kuhusu mitaala.
 
hadi hamu inaisha, labda next week.
 
Kina ustaaaazi hawapendi elimu dunia,wanaacha kuhamasishana wapende shule wanabaki kulalamika tu !
 
Tumechoka na hizi story ambazo hazina ukweli wowote, kila mtu anaongea lake, tumwamini nani sasa?
 
Habari wana JF,
kwa tetesi fulan inasemekana matokeo yanatoka tar.10 ya kesho.
 
Watakuwa wameyachakachua (standardize) kama matokeo ya darasa la saba ili ionekane kwamba ufaulu umepanda.
 

Wapendwa great thinkers! Mie hii FB page ya NECTA nasita kuiamini kabisa. Tangu last year ina operate kama kiinimacho fulani hivi wenye taarifa za kubahatisha kama tulizonazo wengi wetu, na wanaoi'operate' sio watu wa NECTA! Kwa kifupi hii page nayo ni janga la taifa!
 

hilo nalo neno
 
waliofaulu 54% kati yao ni 5% tu ya muslim waliofaulu.....


Udini unakuwasha..eeenheee...wenzio hatukuwahi kujiuliza kuwa ukristo wangu utanibeba kwenye masomo...badala yake tulipiga msuri wa nguvu....bila kujali shida ya fedha au umbali wa shule. I am telling you, dini yangu haina uhusiano na maisha ya shule, kula kwangu au hata kuvaa kwangu...isipokuwa na kuuomba baraka za Mungu tu.

Mhe. Zumbemkuu, hakika mpaka unakufa hutakuja kufahamu wala kutambua kuwa udini ni ukichaa ambao unatakiwa kuuchukulia kawaida instead of becoming extremist.....!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…