Donald william
Member
- Feb 8, 2013
- 19
- 1
Unafanya kazi NECTA ipi ndugu yangu, labda unafanya kazi za ufagizi hapo wala haya mabo huyajui kabisa ila kama unafanya hapo utakuwa haupo pamoja na mabosi wako
angalia hizi statement toka NECTA kupitia FBP- juzi 07/02/2013 walisema "Mambo yakienda vizuri kama tulivyopanga, matokeo tutayatoa kesho. Kwa kudokezea ni kwamba wasichana wameng'ara sana kwenye mitihani ya mwaka 2012.
Tuombe Mungu kila kitu kiende kama tulivyopanga"
na jana 08/02/2013 walisema " Habari za mchana. Shughuli ya kuingiza matokeo kwenye tovuti yetu bado inaendelea na kwa kiasi kikubwa imekamilika. Kama alivyosema msemaji wetu, tunajitahidi watahiniwa wa kidato cha nne mwaka 2012 waweze kupata matokeo yao leo hii. Mchana mwema." sasa wewe unafanya kazi NECTA ya nyumbani kwenu au kwa mjomba wako nini? https://www.facebook.com/pages/National-Examination-Council-of-Tanzania-NECTA/101411643286736
dah hahahahah umemuweza huyu jamaa anaesema kuwa anafanya kaz NECTA