Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Tetesi za Matokeo ya NECTA kidato cha nne 2012 [Kabla Hayajatoka]

Status
Not open for further replies.
Hapana zilizopo ni habar za uvumi tu.
Na hii ni kutokana na kauli ya njumbe wa baraza kwamba matokeo hayajakamilika.
Kwa habar zaidi tembelea google
 
Munyaaaazi mungu subana wa taala,ha ha ha

Mi nashauri wapewe A wote,wapige pointi saba wote kuzuia uvunjifu wa amani

usipende kuongea vitu pasipo na fact haya mambo ya udn yanatokea wap tushakataa haya mambo
 
We have been waiting 4 so long 4 4m4 results,tell us the truth when will be out?or we are waiting soup from stones?This is accademic ground not politics!only truth is allowed,people tell us when???
 
Ukiona una "MCHECHE" na matokeo ujue una matumaini makubwa sana....big up sana...

Kuna watu wanakesha wanaomba yasitanagazwe milele....
 
Matokeo ya kidato cha nne kwa mitihani iliyofanyika October mwaka jana yanakaribia kutoka. Katika matokeo hayo ambayo vikao vyake vya mwisho ndio vinafanyika,ufaulu umnaonekana kushuka.Nyaraka zinaonesha kuwa Shule za Seminari,kama ilivyo ada,zinaoongoza.Baadhi ya Shule za Serikali zinajikongoja ingawa ufaulu katika Shule zetu za Kata ni wa utata mtupu.

Matokeo hayo ambayo nimefanikiwa kuyachungulia kiintelijensia yanaonesha kuwa wanafunzi wa Sayansi ndio waliofaulu zaidi ya wale wa masomo ya Sanaa. Wasichana,katika ufaulu wa kitaifa,wameng'ara kuliko wavulana. Hali katika Shule zetu za Serikali hasa za Kata si nzuri hata kidogo. Yakitoka,hapatatosha!

Matokeo hayo yanatarajiwa kutangazwa muda wowote hasa kuanzia tarehe 1/2/2013.

ANGALIZO: Siwezi kutaja kwa majina Shule za kwanza na za mwisho na wanafunzi wa namna hiyo kwakuwa matokeo rasmi hutangazwa na Serikali.

truism
 
Hivi hawa wanaosema tunawasumbua kwa kupost mambo ya matokeo,wao hawakupitia huko?Kama tunakuboa acha kuzisoma na fanya yako unayoyaona ni muhimu kwako kwani sisi tunaona la muhimu ni matokeo.
 
Hata mimi naona ni hivyo hivyo. Kila mtu anasema lile ambalo akili yake inampa aseme.
 
Huo ni uvumi usiokua na msingi,na usitegemee kuweka mabati angali msingi hamna.Nakuomba ujifunze kufanya tafiti zenye tija na ukweli ili kuepuka kupotosha umma na kusababisha uvunjifu wa amani.
 
yameshatoka ingia facebook.com mtayakuta huku c kwa watoto wa o'level
 
Madogo sasa hizi post zenu humu zinaboa si msubiri; kwani kwa kupost humu ndio mtayaharakisha au?!

Sio lazma ufungue thread znazohusu matokeo. Kama hazikuhusu na zinakuboa unafungua za nin?
 
wengne wanasema kesho tar 15 yanaweza toka au had 4m six wamalize paper
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom