tanga kwetu
JF-Expert Member
- May 12, 2010
- 2,193
- 1,437
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Tukusaidie vipi sasa while u have chosen stupidity as ur guide
HahahaLisura lake libaya huna haja ya kujisumbua kuliharibu.
Liroho ndio balaa zaidi.
Toka lini katili akapewa tuzo ?...
Kama tu alishindwa kupata tuzo ya Forbes asahau kabisa mpaka anatoka madarakani..
Wazungu uwa hawana mchezo na mtu anayechezea democracy na Uhuru wa kujieleza...
Kwanza tuzo ya nini ? Ya kubadili uchumi wa watu kutoka milo miwili hadi mlo mmoja pengine hamna kabisa?..
Upuuzi wa kiwango duni sana ! Kama na wewe unalipwa kwa ujinga kama huu basi hela za ccm zinaliwa hovyo sana ! Hivi Magufuli ni wa kupewa tuzo ! Unaitukana dunia kwa faida gani ?Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Short sighedness. Nani alikwambia wazungu wanna interest na hizo rudimental democracy za kwenu? Iraqi, Saudi Arabia, Kuwait, Afghanistan, Pakistan and the like of such countries kuna democracy gani? Ninyi ni bure kabisa! Mnadhani kuwa mawakala wa wezi wa rasilimali zetu ni kazi ya maana! Tanzania imekwisha pata kiongozi mwenye mwelekeo sahihi, hakuna Mwananchi anayejifahamu atakayekubali kurudi nyuma.Toka lini katili akapewa tuzo ?...
Kama tu alishindwa kupata tuzo ya Forbes asahau kabisa mpaka anatoka madarakani..
Wazungu uwa hawana mchezo na mtu anayechezea democracy na Uhuru wa kujieleza...
Kwanza tuzo ya nini ? Ya kubadili uchumi wa watu kutoka milo miwili hadi mlo mmoja pengine hamna kabisa?..
Lisura lake libaya huna haja ya kujisumbua kuliharibu.
Liroho ndio balaa zaidi.
Na wewe sasa unajifahamu ?Short sighedness. Nani alikwambia wazungu wanna interest na hizo rudimental democracy za kwenu? Iraqi, Saudi Arabia, Kuwait, Afghanistan, Pakistan and the like of such countries kuna democracy gani? Ninyi ni bure kabisa! Mnadhani kuwa mawakala wa wezi wa rasilimali zetu ni kazi ya maana! Tanzania imekwisha pata kiongozi mwenye mwelekeo sahihi, hakuna Mwananchi anayejifahamu atakayekubali kurudi nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeongea vizuri sana ila umeharibu hapo uliposema TL alipelekwa Nairobi kwasababu hawaamini huduma zetu hapo hukusikiliza wahusika walisema nini sio kua hawaamini madaktari wetu bali ilikua issue ya usalama wa Lissu. Hayo mengine nakubaliana nawe yanaleta maswali mengi sanaUkipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
Ndio mnakiri kutulenga mtuue?Short sighedness. Nani alikwambia wazungu wanna interest na hizo rudimental democracy za kwenu? Iraqi, Saudi Arabia, Kuwait, Afghanistan, Pakistan and the like of such countries kuna democracy gani? Ninyi ni bure kabisa! Mnadhani kuwa mawakala wa wezi wa rasilimali zetu ni kazi ya maana! Tanzania imekwisha pata kiongozi mwenye mwelekeo sahihi, hakuna Mwananchi anayejifahamu atakayekubali kurudi nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..
Siku chache baada ya balozi wa China kusema Mh Magufuli ndio habari ya dunia. Kundi fulanix lili jianda kufanya kituko kitakacho mchafuwa mh rais wetu.. Dunia nzima na kumfanya aonekane yeye ni Rais gaidi...
Muda mchache tu baada ya lisu kupigwa risasi video ilifika nje before hata sisi wa bongo hatujajuwa kiukweli hili nalo lichunguzwe othewise tujuwe taif aletu tuna safari ndefu
Lisu walitaka apelekwa nairobi kisa awahamini uduma zetu lakini ni dr wa dodoma waliokoa maisha yake..
Aljazeera na baloz za nje walipata taarifa za ya tukio hilo nakuihusisha na serikali
Yote haya nikumuharibia sura yakimataifa rais wetu...
Je nani ni msaliti wa taifa letu na nikwamasilah yanini
wewe unaona kiswahili chenyewe ni kibovu kupita maelezo. Unavyomchanganyia lugha, ataambulia kitu? Achilia mbali kuwa alichagua ujinga kuwa kiongozi wakeTukusaidie vipi sasa while u have chosen stupidity as ur guide
Wanawaua wazungu wenu wanaowatumikisha kama punda huku nyie hamjitambui. Mkija kugundua conspiracies zao it will be too late.Ndio mnakiri kutulenga mtuue?
nilikuwa nafatilia sana habari za nje, hii issue imechafua sana sura ya tanzania, manake mpaka presstv nayo imetoa,Ukipenda kufuwatilia mambo ya dunia utajuwa mambo mazito usio yajuwa na kama ulifikiri umafia ulikuwa italia na nchi zingine basi juwa umafia unaweza kufanywa hata hapa taifa letu tusiamini..