Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Rubbish
 
Nimekuelewa marekani sio tawala ya kiimla.
 
Ukraine ipo kwenye breaking point mkuu, usiwe na shaka, halafu Ukraine ndio imezungukwa sio askari wa Russia.

Ukraine ilichofanya kikubwa ni kusogeza siku kadhaa ili wajipange namna ya kutoroka, Zelensky mwenyewe amesema Kiev ikizungukwa atauawa.

Ukraine ipo kwenye hatua za mwisho kabisa.

Halafu Hitler alipigwa na Russia fahamu hilo, mtu wa kwanza kuingia Berlin ni Russia.
 
Jingine mzee baba sura yake inabadilika, ni dalili ni mgonjwa. Wanahisi anatumia aina flani ya dawa zinazomfanya kuna siku uso umejaa kuna siku umepungua.Hata maamuzi yake ni ya kutatanisha.Putin sio yule...
 
Ni Soviet Union...ya Joseph Stalin. Sio Russia ya Putin ..
 
Hio kauli ya Biden ikulu ya marekani imesema haikuandikwa kama jinsi Biden alivyosema.

Naona US wanajitetea😂😂😂, ni kauli inayoonyesha wanapanga njama za kumuua au kuivamia Russia.

White House imekana.
 
Jingine mzee baba sura yake inabadilika, ni dalili ni mgonjwa. Wanahisi anatumia aina flani ya dawa zinazomfanya kuna siku uso umejaa kuna siku umepungua.Hata maamuzi yake ni ya kutatanisha.Putin sio yule...
Kati ya Putin na Biden nani ana afya mgogoro.
 
Uzi umekaa kiudaku udaku mi magaazeti ya udaku sisome siyapendi ,eti Siri tusioijua sasa utaandika nini Kama ni Siri usioijua
 
Zama za nyuklia zimeshapitwa ni za miaka ya 90 huko ,kwa sasa marekani,ameacha kutengeneza nyuklia ,sasa hivi yuko kwenye lazer bombs ambayo pia yanatumika kama ant-nyuklia bombs ,mabomu haya yalifanyiwa utafiti kwenye miaka ya1986 ,chini ya kitengo cha siri sana ikijumuisha wanasayansi mahiri,mwaka2001 ,project hii ilionyesha mafanikio makubwa sana ,bomu hili lina uwezo x100 ya bomu la nyuklia ,uwezo wa juu wa maangamiz ni km1200 ,lina miale mikali sana yenye nyuzi joto 40,000centgred , hapo linayeyusha kila chuma,na miti,mawe ,gharama ya Bomu moja ni dola billion 40,yaani ni trillion 80 za madafu,pia yako madogo ambayo yana uwezo wa kuangamiza kifaa chochote cha chuma kikawa uji.uboreshaji mkubwa ulifanyika mwaka 2014 ,ambapo yana uwezo wa kutoonekana na rada wala kifaa chochote,marekani siyo poah baba ule mziki mwingine budget ya jeshi mwaka huu ni trillion 1400 za madafu ,shabikia ukiwa na point
 
Haihitaji super intelligence kutambua kuwa Putin muda wake ni mfupi sana.

Kupoteza majenerali 7, siyo jambo la kawaida. Ubora wa jeshi la Russia inaonekana ulikuzwa sana kuliko uhalisia.
Wamepotea kishujaa, au ulitaka wafie guest
 
Pengine haya maneno yanakuumiza sana lakini wacha nikuambie bwana mdogo...yanayofanywa na Urusi au Putin si kitu kinachoweza kufanywa na kila MTU ila tu unabii utimie
Kwa nini Russia wanasheherekea ushindi wa vita kuu ya pili dunia mpaka leo? Na si Ukraine wala Czech Republic n.k, hebu nijibu.
Akikujibu nistue maana watoto wengi humu na wengi hawajui unapoizungumzia Soviet Union unaizungumzia Russia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…