Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Nimemjibu..
 
Yaani Tanzania hii jamani , duh bora nikae kimya
 
Aisee,umeongea vingi ila umelishwa sana propaganda za west.umeingia kingi.

Urusi bado anaogopwa kama nyati aliyejeruhiwa .amepoteza vingi vitani ila bado anaogopwa sana tena sana
Heheheh nyati alie jeruhiwa...
 
Kwa nini Ukraine hasherehekei ushindi wa WWII
Ilikuwa sehemu ya ushindi ule...ndio maana nakakupa mfano: sisi bara hatukuwa na mapinduzi, ila baada ya kuungana na visiwani tunaadhimisha mapinduzi. Na Russia haikuwa pekeyake WW2. Ilikuwa ndani ya USSR ..
 
Nadhani vyombo vya magharibi vimekulisha upepo.

Ni bahati mbaya sana tumenyimwa fursa ya kutazama RT,tumelazimishwa kutazama propaganda za CNN,BBC.....

Tatizo ya hii vita imeleta ushabiki na kuwagawa watu kimakundi

Saizi unapinga media za CNN, BBC kuwa zimepotosha

Lakini media hizo hizo zinapotangaza wanajeshi wa ukraine waliokufa vitani mnasema "Putin kiboko si unaona mpaka NATO wameufyata"

Hapo hamjitokezi kusema ni propaganda, ila linapokuja swala la kuiongelea Urusi negative ndio hapo cheche zinapowatoka
 
Hehehehehhehhe... Poa
 
Wabongo mambo yetu tu yametushinda, lakini ya wenzetu tunajifanya tunayajua kinoma...
 
Unanifanya hata siku ukipost kitu nisiwe na hamu ya kusoma..zaidi nakufananisha na wale wanafunzi kule Fesibuku..
Unajuwa ujinga nakukaa kimya ni busara sana. Mm nimekuelewa.
 
Ilikuwa sehemu ya ushindi ule...ndio maana nakakupa mfano: sisi bara hatukuwa na mapinduzi, ila baada ya kuungana na visiwani tunaadhimisha mapinduzi. Na Russia haikuwa pekeyake WW2. Ilikuwa ndani ya USSR ..
Kwa hio ninaposema Russia ilimpiga Hitler usiwe mbishi.

Kumbuka mipango yote na kila kitu ilikuwa ni Russia, hata baada ya anguko Russia ndio imebaki kama alama ya USSR.

Ukiitoa Russia hakuna USSR, ndio maana mpaka leo wanasheherekea kama washindi wa WWII.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…