Tetesi za siri tusizozijua vita ya Russia vs Ukraine

Ah!....
 
Vita ina siri Sana!!yale yanayotangazwa sio uhalisia wa mambo yenyewe!!ngoja Tuone hatma!!!
Mabeberu wanatoa habari in favour ya maslahi yao na myukrain,na hakuna uhalisia na vyombo vyao vyote wamevifunga mdomo kuonyesha umoja wao.
 
Nilikuwa nafuatilia Arutz Sheba ya Israel kuwa Inteligency ya Ukraine inajua mipango ya kumuua Putin.
Kwa hiyo kwa sehemu nataka kuamini lakini upande mwingine siwezi kuamini.
Putin anaonekana fiti kwenye media kama kawaida akitoa taarifa ya hali ya uchumi wa Russia na maendeleo ya vita Ukraine,labda ambaye kuna tetesi kuwa amepata kiharusi ni Waziri wa Ulinzi Shoigu kwa sababu hajaonekana kwenye media muda.
Wasiwasi wangu ni Ziara ya Waziri Mkuu wa Israel Bennet na waziri wake wa ujenzi aliyofanya ghafla siku chache zilizopita kwa ndege ya siri ya Mosaid usiku alipokwenda kuonana na Putin,akaelekea Ujerumani na then akaenda kuonana na Zelensiky usiku huo huo ziara iliyochukua masaa 3 then akarudi Israel ! sasa huwezi kujua kilichofanyika kuhusu Putin.
 
Hahah wazee wa propaganda.
 
Nadhani vyombo vya magharibi vimekulisha upepo.

Ni bahati mbaya sana tumenyimwa fursa ya kutazama RT,tumelazimishwa kutazama propaganda za CNN,BBC.....
RT ni kama TBC au Xinhua News Agency tu.
 

Pombe za Jpili mapema sio nzuri, nendeni kanisani kwanza, kisha ndio mnywe jioni.
 
Kolo sana wewe. Hivi unajua nini we we?
 
Sio mzuri Sana wa vinywaji vikali ila nahisi umekunywa bongo don
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…